News

Goodluck Gozbert afanya maombi Amani ya Tanzania idumu milele.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako58Shares Msanii wa Injili, Goodluck Gozbet amesema kitu kikubwa anachofanya katika maisha yake ni kuhubiri vitendo vya amani kwa kuomba kupitia nyimbo zake na utii na watu kumcha Mungu na kunapokuwa na hofu ya Mungu katika jamii basi amani hutawala…. ‘’Kwanza najivunia kuzaliwa kwenye nchi ambayo ina amani, Tanzania ni nchi yenye amani na ...

Read More »

Kwa Mara Ya Kwanza Israel Houston Aachia Video Pamoja Na Mke Wake.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17SharesIsrael Houston Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Anatarajia Kuachia Video Yake Mpya Ambayo Ameifanya Akiwa Pamoja Na Mke Wake. Katika Account Ya Instagram Ya Adrienne Bailon Mke Wa Israel Ameandika; “S E C R E T S 🎞 @israelhoughton & I shot our first music video together… Directed by the unbelievably talented @meagangood! ...

Read More »

Askofu Mstaafu Katoliki Afariki Dunia.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako13SharesAskofu Mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Mhashamu Nestory Timanywa amefariki dunia leo asubuhi. Marehemu alizaliwa mwaka 1937 na kupata Daraja la Upadre mwaka 1966 akawa Askofu 1973 kabla ya kustaafu mwaka 2013.   Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku. ...

Read More »

Mtawa Ajiua Kwa Kujirusha Kutoka Ghorofani.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako32SharesMkurugenzi wa fedha na Mipango katika hospitali ya Rufaa Bugando, kule Mwanza Mtawa Suzan Bathlomeo amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka ghorofani. Mtawa huyo alijirusha muda mfupi baada ya kutoka kusali misa ya saa 12:00 asubuhi, leo Jumanne Agosti 28, 2018. Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jonathan Shana amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na ...

Read More »

Prophet Shepherd Bushiri Na Mke Wake Wapewa Tuzo Za Heshima Kutoka Kwa Canadian Christian Organisation.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako12SharesProphet Shepherd Bushiri Pamoja Na Mke Wake Prophetess Marry Bushiri Wamekabithiwa Shahada Za Heshima Wakiwa Washington DC Katika Huduma. Shahada Hizo Za Heshima Zimetolewa Na Canadian Christian Organisation. PRESS RELEASE, AUGUST 28 2018: ____________________________________ PROPHET SHEPHERD BUSHIRI, PROPHETESS MARY BUSHIRI RECOGNISED AND HONOURED BY UNITED NATIONS (UN) BACKED CANADIAN CHRISTIAN ORGANISATION Washington D.C., USA: ...

Read More »

Picha; Askofu Lazaro Apokea Shahada Ya Heshima Ya Falsafa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoAskofu Mkuu Mstaafu Wa Kanisa La Tanzania Assemblies Of God (TAG) Tanzania Bishop Emmanuel Lazaro Jumamosi Iliyopita Amepokea Shahada Ya Heshima Ya Falsafa. Tukio Hilo Lilifanyika Kanisani Kwake Kilimanjaro Revival Temple – Moshi. Mkurugenzi Na Raisi Wa Chuo Biblia Cha Japan Bible Institute Collage Kutoka Japan Prof. Paul Zemu Alifika Kwa Ajili Ya Kumkabidhi ...

Read More »

Rogate Kalengo Atangaza Ujio Wake Mpya.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Ambae Mwaka 2016 Aliwashangaza Wengi Kwa Kipaji Chake Katika Gospel Star Search (GSS) Na Kuibuka Mshindi Wa Tatu Katika Mashindano Hayo Atangaza Ujio Wake Mpya. Rogate Kalengo Ametangaza Ujio Wake Huo Mpya Kabisa Ikiwa Ni Siku Chache Tu Baada Ya Kusherehekea Kumbukumbu Ya Siku Yake Ya ...

Read More »

Atosha Kissava: “Niliwahi Pita Mambo Magumu Kuhusiana Na Mahusiano”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoBaada Ya Kufunga Pingu Za Maisha Mwanadada Atosha Kissava Mwaka Jana Desemba Na Bwana Daudi Mwakalinga, Leo Ameandika Ujumbe Kwa Vijana Akiwatia Moyo Kusubiri Wakati Wa Bwana Katika Swala La Mahusiano. Ameandika; “Ninakumbuka miaka kadhaa iliyopita niliwahi pita mambo magumu kuhusiana na MAHUSIANO Najua eneo hili mara nyingi nimahali ambapo huwa panawaumiza vijana wengi, ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free