News

Picha; Hivi Ndivyo Sinach Alivyopokelewa Nchini Kenya.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako39SharesJana Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Nigeria Sinach Alitua Nairobi Kenya Katika Event Kubwa Ya Daughter Of Zion (DOZ) Iliyofanyika Leo Tarehe 1 September. Katika Event Hiyo Walikuwepo Waimbaji Wengine Kama Guardian Angel, Sammie Okposo, Mercy Masika, Evelyn Wanjiru Na Wengine Wengi. Furahia Upako Wa Picha Hapa Chini. Tazama Baadhi Ya Picha Za ...

Read More »

Hafla ya Wabunge yafana wachangisha Mill. 800

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako18SharesTakribani shilingi milioni 800 zimepatikana katika Hafla Maalum ya kuchangisha fedha kusaidia ujenzi wa vyoo vya watoto wa kike mashuleni iliyofanyika Mlimani City Jijini Dar es Salaam usiku wa jana. Mgeni rasmi Spika Mstaafu Mama Anna Makinda akipokea mfano wa hundi kutoka kwa taasisi mbalimbali ambazo zimechangia Fedha kwa ajili ya ujenzi wa vyoo ...

Read More »

Mtoto Wa Uebert Angel Aandika Ujumbe Kwa Baba Yake.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako9SharesMtoto Wa Nabii Uebert Angel Wa Kanisa La Good News London Uebert Angel Jr Ameandika Ujumbe Kwa Baba Yake. Ameandika; “Every successful business needs an accountant and every person who has greatness in them needs a father and a mentor, I’m blessed I have mine. @uebertangel”. Mtoto Huyo Ambae Ni Wa Kwanza Kwa Nabii ...

Read More »

Karibu Kutazama Video Mpya Kutoka Kwa Betty Barongo ‘Prisoner No More’.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako11SharesMuimbaji Wa Gospel Hapa Nyumbani Tanzania Betty Barongo Ameachia Video Mpya Iitwayo ‘Prisoner No More’. Katika Wimbo Huo Audio Imefanywa Na Mikono Ya Producer pdz K- star Na Video Imefanywa Na Director Crix Chini Ya Key art film production. Furahia Upako Wa Video; Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali ...

Read More »

Video Mpya; ‘Sikuachi’ Ya Prisca Sanga Ft Milton Mugisha Ipo Tayari. Karibu Kuitazama.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako12SharesMwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Prisca Sanga anakukaribisha kutazama video yake mpya iitwayo ‘Sikuachi’. Video  hiyo amefanya akiwa amemshirikisha Milton Mugisha. Audio imerekodiwa na producers (DayDream & Milton Mugisha) katika studio za Over The Classic Music za Jijini Mwanza na video yake kuongozwa na mwongoaji Travella kutoka Kwetu studio. Karibu furahia upako ...

Read More »

Mkuu Wa Wilaya Jerry Muro aumaliza mgogoro wa miaka 13 wa Kanisa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako21Shares Serikali imemaliza mgogoro wa Kanisa la African Mission Evangelism Church ( AMEC TANZANIA ) Arusha uliodumu kwa zaidi ya miaka 13. Kumalizika kwa mgogoro huo kunatokana na viongozi wakuu wa kanisa hilo waliokuwa kwenye mgogoro kukubaliana kumaliza tofauti zao baada ya serikali kuamua kuingilia kati kulinusuru kanisa hilo. Mkuu wa wilaya ya Arumeru ...

Read More »

TBT; Picha 13 Za Kundi La New Life Band.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako33SharesKatika Alhamisi Ya Leo Tunakuletea Throw Back Thursday Na Katika Kumbukumbu Tunaangalia Kundi La Muziki La Hapa Nyumbani Tanzania New Life Band. Band Hiyo Iliundwa Mwaka 1978 Na Kufanya Mwaka Huu Ifikishe Miaka 40. Mwaka 1997 August -mwaka 1998 August walifanya ziara ya kihuduma nchini Marekani na baada ya 1998 August waliunganisha kuelekea Uingereza ...

Read More »

Michelle Williams Aanzisha Application Mpya Ya Biblia.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14SharesBaada Ya Kupata Matibabu Katika Tatizo Alilokuwa Nalo La Msongo Wa Mawazo Lililompelekea Kutaka Kujiua Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Michelle Williams Ambae Anafahamika Zaidi Kama Destiny’s Child Ameanzisha Application Mpya Ya Biblia Aliyoipa Jina La ‘Believe In Me’. Katika Account Yake Ya Instagram Aliweka Video Akiwakaribisha Watu Kujipatia Biblia Hiyo. Katika ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free