News

TAKUKURU kuwaburuza Mahakamani wanaodaiwa kutafuna Bilioni 2

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iko katika hatua za mwisho kukamilisha upelelezi wa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya shilingi Bilioni mbili zinazowakabili viongozi wa kiwanda cha kukoboa Kahawa cha mkoani Kilimanjaro. Kaimu Kamanda wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro, Moses Oguda amewaambia waandishi wa habari kuwa baadhi ya majalada ya kesi hiyo ...

Read More »

Esther Pangisa Afunguka Tabia Asiyoipenda Kwa Waimbaji Wa Gospel.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwanadada Mwimbaji Wa Gospel Kutoka Dar-es-Salaam Esther Pangisa Baada Ya Kuachia Album Yake Mwaka Jana ‘Atatenda Tu’ Ikiwa Ni Pamoja Na Baadhi Ya Video Za Nyimbo Zake Sasa Afunguka Na Kuongelea Mipango Yake Aliyonayo Kwa Mwaka Huu Huku Moja Ya Mipango Yake Ikiwa Ni Kumalizia Video Za Nyimbo Zake Ambazo Hazikuwa Zimekamilika. Akiongea Na ...

Read More »

John Kavishe Atangaza Kuachia Album, Azungumzia Mahusiano Yake.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14Shares John Kavishe Ni Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Arusha Lakini Kwa Sasa Anaishi Dar-es-Salaam Ambae Husikika Zaidi Kwenye Matamasha Bila Watu Kusikia Album Au Video Zake. Pazia Tv Ilimtafuta Na Kupiga Nae Story Na Amefunguka Kuhusu Ujio Wake Wa Album Yake Mpya Ambayo Anaiandaa Na Itakujia Hivi Karibuni. Pia Alifunguka Swali Ambalo Wengi ...

Read More »

Wimbo Mpya Kutoka Kwa Gamaliel Mwasumbwi “Ishi Sasa” Unapatikana Hapa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoBaada Ya Kimya Cha Muda Mrefu Sasa Tena Kwa Mara Nyingine Mwimbaji Mkongwe Wa Nyimbo Za Injili Alievuma Zaidi Mwaka 2001 Gamaliel Mwasumbwi Amerudi Tena. Kwa Mara Nyingine Tena Mwimbaji Huyo Ameachia Wimbo Wake Uitwao Ishi Sasa. Akizungumza Na Live On Live Media Gamaliel Alisema; “Nimekaa Kimya Kwa Muda Nikiwa Sijaachia Wimbo Japo Nilikuwa ...

Read More »

Picha 23 Za Send-Off Ya Neema Shoo.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako26SharesJumamosi Hii Imefanyika Sherehe Ya Kumuaga (Send Off) Mchungaji Wa Kanisa La Shilloh Prophetic Church Neema Shoo Ikiwa Tunaelekea Katika Harusi Itakayofanyika Jumamosi Hii Ya Tarehe 21 April. Katika Ukurasa Wa Kanisa Hilo Kulikuwa Na Ujumbe Ulioandikwa; “Mungu Wetu Atukuzwe Sana, Jumamosi Tumekua Na Baraka Kubwa Sana Ya Kumuaga Mchungaji Wetu Pastor Neema Shoo ...

Read More »

Walter Chilambo Nae Afunga Ndoa. Picha Zote Za Send-Off Na Harusi Ziko Hapa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako45SharesAkiwa Amefanya Vizuri Sana Na Anaendelea Kufanya Vizuri Katika Kiwanda Cha Muziki Wa Injili Mwimbaji Wa Injili Walter Chilambo Nae Pia Ameamua Kufanya Kweli Baada Ya Kufunga Ndoa Na Mchumba Wake Loveness Hiza Siku Ya Jana. Baada Ya Kula Kiapo Kanisani Sherehe Zilifanyika Katika Ukumbi Wa Mkapa Jijini Mbeya. Unaweza Kutazama Picha Za Send-Off ...

Read More »

Picha; Ilivyokuwa Send-Off Mpaka Harusi Ya Ambwene Mwasongwe.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako89SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Ambwene Mwasongwe Ambaye Amekuwa Moja Ya Waimbaji Wanaofanya Vizuri Sana Hapa Nyumbani Siku Ya Jana Ameamua Kuuaga Upweke Na Kumuoa Mchumba Wake Wa Siku Nyingi Jackline. Katika Moja Ya Post Zake Ambwene Alionyesha Wamekaa Kwenye Uchumba Kwa Miaka Minne Mpaka Ilipofika Siku Ya Jana Kuweza ...

Read More »

Rev. Lucy Natasha Apokea Tuzo Ya Africa Prestigious Awards – Ghana.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako12SharesMuhubiri Wa Kimataifa Mwenye Nguvu Kutoka Kenya Rev. Lucy Natasha Apokea Tuzo Ya Africa Prestigious Awards (APA) 2017 Ya Heshima Nchini Ghana . Amepokea Tuzo Hiyo Kutokana NaKazi Kubwa Inayofanywa Na Natasha Hand of Compassion Team Nchini Kenya. Pia Alipata Nafasi Ya Kuhudumu Kabla Ya Utoaji Wa Tuzo Hizo. Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata ...

Read More »

Video; Pastor Creflo Dollar Amtetea Snoop Dogg.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMhubiri Wa Injili Wa Kimataifa Kutoka Marekani Creflo Dollar, Mwandishi Wa Televisheni Maarufu Na Mwanzilishi Wa Kanisa La World Changers Church International Huko Georgia, Alitetea Uamuzi Wa Snoop Dogg Wa Kuzalisha Albamu Ya Injili Na Kuwakemea Wakristo Ambao Walihoji Madai Ya Mwandishi Huyo Kuwa Ni Mkristo Wa Kuzaliwa Tena. Akihubiri Juu Ya “Roho Wa ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free