News

Afisa Uhamiaji Awataka Viongozi Wa Madhehebu Ya Kikristo Kuacha Tabia Ya Kualika Wahubiri Kutoka Nje Ya Nchi.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako31SharesAfisa uhamiaji katika jijini la Dodoma Edwin Mwasota amewataka wachungaji na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo mkoani Dodoma kuacha tabia ya kualika wachungaji kutoka nje ya Tanzania na kufanya mahubiri katika jiji hilo bila kibali Maalum. Bwana Edwin ameyasema hayo  Septemba 5 katika moja ya Ziara ya mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini ...

Read More »

Unakumbuka Video Za Watoto za Sungura Mjanja?Sasa Huyu Ndiye Aliyeigiza Kama Sungura Mjanja

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako45Shares Filamu za sungura mjanja zilikuwa na mafunzo mazuri kuhusu watoto kumpenda Mungu na Kuwa Na Maadili na ziliwavutia watu wengi hasa watoto kuzitazama,filamu hizi zilikuwa zinaandaliwa na kituo cha Habari Maalum Media Arusha Ngaramtoni . Wilfred Daniel Mollel ndie mtu aliyevaa uhusika wa sungura mjanja Live On Live hebu msikilize hapa chini. Jiunge ...

Read More »

New Video; Evelyn Wanjiru Ft Benach Mwanake ‘Umenitosha’.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKutoka 254 Nairobi Kenya Leo Nimekusogezea Video Mpya Kabisa Ya Nyimbo Za Injili  Kutoka Kwa Evelyn Wanjiru Kutoka Kenya Akiwa Amemshirikisha Benach Mwanake. Akiuachia Wimbo Huo Evelyn Wanjiru Aliandika; “Many at times we try looking for satisfaction else where and go out of our way to fill various voids in our lives we forget ...

Read More »

Ndoa yamnyima usingizi Emmanuel Mbasha

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako25SharesMuimbaji  wa nyimbo za Injili nchini, Emmanuel Mbasha, anaoneka bado  swala na ndoa linaendelea kuzunguka kwa kasi kwenye akili yake, kutokana na maandiko mbalimbali anayoyatoa kwenye mitandao ya kijamii yakiwa yanalenga kumrudisha katika ulingo huo kwa namna moja ama nyingine. Kupitia mtandao wake wa kijamii Instagram l Septemba 03, 2018, Mbasha alionekana kutoa neno ...

Read More »

Kumbe Mke Wa Rev Adam Hajj Ni Mwana siasa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako27SharesNajma Hajj Mohammed Ni Mke Wa Muhubiri Maarufu Afrika Mashariki adam hajj kutoka Arena Of Faith Arusha.Tumezoea kuona wamama wachungaji wengi wakiwa nao watumishi kwa maana ya kuhudumu na waume zao lakini Najma ameamua kufanya yote pamoja na Kuingia kwenye Siasa Huko  Kwao nchini Kenya. Najma anatueleza sababu Kubwa Ya Yeye Kuingia Kwenye Siasa ...

Read More »

Video; Tasha Cobbs Apokea Tuzo Mbili Za Billboard Music Award.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17SharesMwimbaji Wa Muziki Wa Injili Kutoka Marekani Tasha Cobbs Leonard Apokea Tuzo Mbili Za Billboard Music Award. Tuzo Ya Kwanza Amepata Kama Mwimbaji Bora Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Na Tuzo Ya Pili Kwa Albamu Bora Ya Gospel Kupitia Albamu Yake Ya ‘Heart, Passion, Pursuit’. Tuzo Hizo Zililetwa Mpaka Nyumbani Kwake Na Alizifungua ...

Read More »

Video: Moto mkubwa wateketeza makumbusho kongwe Brazil

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKikosi cha zimamoto nchini Brazil wanajaribu kuzima moto mkubwa uliotokea katika moja ya makumbusho kubwa na ya kihistoria Mjini Rio De Jeneiro.   Picha za televisheni zinaonesha makumbusho hiyo ikiteketea kwa Moto, Inakadiriwa kuwa na miaka mia mbili na ina mamilioni ya vitu vya historia ikiwemo mifupa ya mwanamke wa kale Zaidi kugunduliwa huko ...

Read More »

Bishop Charles H. Ellis Aomba Msamaha Kwa Kile Kinachodaiwa Kumshika Kifua Ariana Grande.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako30SharesMtumishi Huyu wa Mungu Kutoka pande za Marekani afahamikae kama Bishop Charles H. Ellis Imemlazimu Kuomba msamaha kwa Mashabiki wa Msanii @arianagrande kwa Kile Kinachosemekana kuwa Alikuwa Akimshika Kifua Chake Wakati Anazungumza kwenye Siku Maalum kwa Ajili ya Tribute ya Queen of Soul Music Marehemu Aretha Franklin. Kupitia Moja ya Interview Aliyofanya, Bishop Huyu ...

Read More »

Video; Mercy Masika Amwambia Mungu “Fungua Macho”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako13SharesMercy Masika Amekuwa Moja Kati Ya Waimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Anaefanya Vizuri Katika Tasnia Ya Muziki Wa Injili. Jana Mwimbaji Huyo Ameachia Video Mpya IitwayoFungua Macho. Akiachia Video Hiyo Mercy Masika Ameandika; “Do not fear!There are Angels all around Gods children Like the prophet Elisha said “Open his eyes that he ...

Read More »

Josiah Martin Aomba Maombi Kwa Ajili Yake Na Aliyemtolea Figo Kwa Ajili Ya Kupandikizwa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako28SharesBaada Ya Kimya Kidogo Kupita Tangu Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Josiah Martin Maarufu Kama (J0j0) Kupandikizwa Figo Sasa Afunguka. Katika Account Yake Ya Instagram Mwimbaji Huyo Ameandika Anaendelea Vizuri Na Kuomba Maombi Kwa Ajili Yake Aweze Kupona Haraka Lakini Pia Kwa Mfadhili Wake. Ameandika; “Just an update!! I’m doing fine praise ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free