News

Mambo Matatu Usiyoyafahamu Kuhusu Rev. Adam Hajj,Kumbe Ni Mwanasheria

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako9SharesRev Adam Hajj Ni Kiongozi Wa Kanisa La Arena Of Faith Pale Kijenge Mwanama Arusha,amefahamika sana kupitia ushuhuda wake ambao anaelezea jinsi Mungu alivyomuokoa na Kumuita Katika Huduma Ya Kufundisha Na Kuhubiri Injili. Rev adam Hajj Ni Msomali Kwa Asili Na Alishawahi Kuishi Nchini Kenya, Kwa Sasa Makazi Yake Ni Arusha.Leo Anafunguka Kwa Mara ...

Read More »

Dube Brothers Kuachia Albam Yao Hivi Karibuni.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako13SharesBaada Ya Kuachia Video Yao Hivi Karibuni Iitwayo Blessed, The Dube Brothers Watarajia Kuachia Albam Yao Hivi Karibuni. Akiongelea Ujio Wa Albam Hiyo Iitwayo B.L.O.O.D Baba Wa Vijana Hao Ambae Pia Ni Mwimbaji Na Mchungaji Rev Benjamin Dube Ameandika Katika Instagram Yake; This is my Favourite song “Jesus Messiah”🔥🔥☄️☄️in the New @thedubebrothers Album coming ...

Read More »

Khaya Mthethwa Akishirikiana Na Oasis Worship Wamekuletea Video Hii – ‘Mkhulumsebenzi’.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako10SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Afrika Kusini Ambaye Pia Ni Mchungaji Wa Kanisa La Oasis Church Afrika Kusini Akishirikiana Na Kikundi Cha Sifa Na Kuabudu Cha Kanisa Hilo Waachia Video Mpya Iitwayo ‘Mkhulumsebenzi’. Mwimbaji Huyo Aliwahi Kupata Umaarufu Sana Baada Ya Kuhudumu Na Kundi La Joyous Celebration Na Baadae Kuamua Kusimama Mwenyewe Kama ...

Read More »

Pakistan Yamchagua Nasirul Mulk Kuwa Waziri Mkuu Wa Muda.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoViongozi wa Pakistan wamemchagua Jaji Mstaafu Nasirul Mulk kuiongoza nchi hiyo kama Waziri mkuu wa mpito atakayesimamia uchaguzi mwezi July mwaka huu. Kiongozi wa upinzani Khursheed Shah amesema kuwa Nasirul Mulk atakuwa waziri mkuu wa muda. Mulk, mwenye umri wa miaka 68, alistaafu kama Jaji mkuu wa Pakistan August 2015. Awamu ya serikali ya ...

Read More »

Rais Magufuli aridhia Kinana kustaafu CCM

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako8SharesHalmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imepokea ombi la Abdulrahman Kinana la kustaafu majukumu na nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM ambapo ombi hilo limeridhiwa, pia Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa chama hicho amemtakiwa mapumziko mema. Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako8Shares

Read More »

Mchungaji Amuua Mkewe Kwa Kumchoma Visu.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako6SharesMhadhiri Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (Udom) Rose Malfred (31), Mkazi Wa Swaswa Ameuwawa Kwa Kuchonywa Visu Hadi Kufa Sehemu Mbalimbali Za Mwili Wake Na Mume Wake Mchungaji Wa Kanisa La TAG John Mwaisango. Akizungumza Na Waamdishi Wa Habari Mganga Mfawidhi Wa Hospitali Ya Rufaa Ya Mkoa Wa Dodoma Dk. Calorine Damian Alisema Kuwa ...

Read More »

Kiongozi Wa Juu Wa Kanisa Katoliki Australia Ajiuzulu Kwa Kashfa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako7SharesAskofu Mkuu wa kanisa katoliki nchini Australia, Adelaide Philip Wilson amejiuzulu nafasi yake ya uongozi wa juu wa kanisa hilo baada ya kukutwa na hatia ya kuficha uovu uliotendwa na Padri mwezake Fletcher wa kulawiti. Askofu huyo mwenye miaka 67 anakabiliwa na kifungo cha miaka 2 jela kwa kosa hilo la kufumbia macho na kushindwa kutoa ripoti ...

Read More »

Alishtaki Kanisa kwa kumtaka akabidhi majibu ya UKIMWI kabla ya ndoa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako4SharesMichael Aboneka raia wa Uganda amefungua kesi katika mahakama ya katiba mjini Kampala dhidi ya kanisa la Watoto Church akilalamikia utaratibu mgumu wa kufunga ndoa anaodai unaenda kinyume na katiba ya nchi hiyo huku waumini wengine wakiunga mkono utaratibu huo. Taratibu anazozipinga za kanisa hilo za kufunga ndoa ni pamoja na kuwa ni lazima ...

Read More »

Daddy Owen Atarajia Kupata Mtoto Wa Pili.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Daddy Owen Pamoja Na Mke Wake Farida Wambui Wanatarajia Kupata Mtoto Wao Wa Pili Hivi Karibuni. Akionyesha Furaha Aliyonayo Daddy Owen Aliandika; Isn’t she lovely!?😙💘 first and foremost I want to say that all is not lost in the hopes of redeeming the qualities of the boy ...

Read More »

Neema Ng’asha Amekuletea Video Mpya – “Naamini”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako5SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Jiji La Rock City Mwanza Neema Ng’asha Ameachia Video Ya Wimbo Wake Unaoitwa ‘Naamini’. “NAAMINI ni wimbo unaotukumbusha kuwa Mungu sikuzote yuko pamoja nasi, kuna wakati tunapitia mambo magumu ya kuumiza na kukatisha tamaa na tunajiona kama tuko peke yetu, lakini jambo la msingi ni kujua kwamba hatuko ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free