News

David Vicent Baada Ya Kuwa Mchungaji Haya Ndio Maneno Yake /ataacha Uimbaji?

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako21SharesMuimbaji Wa Gospel Kutoka Arusha David Vicent amesimkwa  rasmi  Mwaka huu kuwa mchungaji Wa Kanisa La Bible and Mission Center (BMC) Lililopo Arusha Meat Hapa anazungumzia Mipango Yake Mikubwa na kama ataacha uimbaji au ataendelea nao. Live on Live Msikilize Hapa chini Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani ...

Read More »

Pastor Paul Safari Asema, “Sound Mbaya Kwenye Ibada Hukata Upako”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako22SharesMchungaji Na Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Kutoka Kanisa La DPC Lililopo Dar Es Salaam Amefunguka Na Kuongelea Swala La Sound Mbaya Kanisani Na Jinsi Linavyoweza Kuathiri Ibada Ya Mtu. Pastor Safari Ameandika; “SOUND MBAYA KWENYE IBADA HUKATA UPAKO. Kati ya vitu muhimu sana kwenye Ibada ni Sound. NI bora kuwa kwenye Ibada ambayo ...

Read More »

Rose Shaboka Aongea Na Wanawake Wanaonyanyasa Watoto Waliozaliwa Nje Ya Ndoa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako37SharesWanawake Wengi Wamekuwa Wakiwadharau Au Kuwanyanyasa Watoto Wa Nje (Watoto Anaowazaa Mwanaume Nje Ya Ndoa. Leo Mama Mchungaji Wa Kanisa La New Day Church Lililopo Dar-Es-Salaam Rose Shaboka Azingumza Na Wanawake Wanaowanyanyasa Watoto Waliozaliwa Nje Ya Ndoa. Ameandika; “Hakuna mtoto aliyejaza fomu ya kuomba kuzaliwa nje ya ndoa. Mtoto awe alizaliwa na House girl ...

Read More »

Wanawake Wawili Washikiliwa Na Polisi. Mmoja Amuua Mwanae.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoWanawake wawili wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma mbalimbali akiwamo mmoja aliyemuua mtoto wake wa kiume wa miaka 11 kwa kumpiga na fimbo kichwani. Mwanamke mwingine anashikiliwa akituhumiwa kumsokomeza mwiko sehemu za siri mtoto wa dada yake mwenye umri wa miaka 6. Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa amesema hayo jana Agosti 14 ...

Read More »

Sara Ndosi Aandika Ujumbe Kwa Vijana. Asema ‘Kujilinganisha Kutakuua’.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako33SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka A-Town The City Of Praise Sarah Ndosi Ameandika Ujumbe Kwa Vijana Akitaka Kutokujilinganisha Au Kupima Mafanikio Kwa Kujilinganisha Na Wengine. Ametaka Vijana Kujichunguza Na Kutafuta Jambo Ambalo Linafaa Kusherehekea Na Kulifurahia Hilo. Ameandika; “Vijana Wengi Tunatafsiri Vibaya Mafanikio. Na Wengi Mafanikio Yetu Tunapima Kupitia Maisha Ya Watu Wengine. ...

Read More »

Baada Ya Kusikia Mwimbaji Aretha Franklin Ni Mgonjwa, Bishop Jakes Aandika Ujumbe Huu.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako15SharesMwimbaji Gwiji Aretha Franklin Yuko Mahututi. Kwa Habari Zaidi Soma http://johnpazia.com/2018/08/14/mwimbaji-aretha-franklin-yuko-mahtuti-familia-yake-yaomba-maombi/ Baada Ya Kusikia Habari Hiyo Bishop T.D Jakes Wa Kanisa La The Potters House Kutoka Marekani Aandika Ujumbe Kwa Familia Yake Akiwataka Wajue Kuwa Anawaombea. Ameanza Kwa Kumuelezea Aretha Kama Rafiki Katika Huduma Yake. Bishop Jakes Ameandika;   View this post on Instagram   ...

Read More »

Askari Mstaafu Wa JWTZ Atiwa Nguvuni.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako15SharesJeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Askari Mstaafu wa JWTZ, Lumi Guya(67) kwa tuhuma za kukodisha silaha yake kwa wahalifu. Mstaafu huyo anadaiwa kushirikiana na Miraji Jumanne(28) ambaye pia aliwahi kuwa Askari wa Polisi kabla ya kufukuzwa kwa utovu wa nidhamu. Jeshi la Polisi pia linawashikilia watu wengine sita (6) kwa tuhuma za ...

Read More »

Picha; Kanisa La TAG Lajenga Ukumbi Mkubwa Dodoma.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako62SharesKanisa La Tanzania Assemblies Of God Limejenga Ukumbi Mkubwa Wa Kanisa Kwa Ajili Ya Mikutano Kule Jijini Dodoma. Askofu Mkuu Wa Kanisa Hilo Barnabas Mtokambali Alikuwepo Na Kuongoza Ibada Hiyo Ya Ufunguzi Wa Ukumbi Huo. Ukumbi Huo Unabeba Zaidi Ya Watu Elfu Sita. Tazama Picha; Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya ...

Read More »

Picha; Rev. Lucy Natasha Amuombea Rose Muhando Mwanzo Mpya.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako89SharesMalkia Wa Muziki Wa Injili Tanzania Rose Muhando Jumatatu Ya Tarehe 13 Alialikwa Katika Kanisa La Oracle Of God Kenya. Kanisa Hilo Linaongozwa Na Mchungaji Mwenye Ushawishi Mkubwa Kenya Rev Lucy Natasha Ambae Pia Alichukua Tuzo Ya Maranatha Award Kama Best Inspirational Speaker. Katika Mitandao Ya Kijamii Rev. Lucy Natasha Aliandika; “Gospel Singer Rose ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free