News

Angel Magoti Aja Na “KIVULINI PAKO”

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoTanzania Imebarikiwa sana Kwa Kuwa Na Waimbaji Wazuri¬† Wa Gospel Mmoja Ni Huyu Angel Magoti Tarehe 18 June Anakukaribisha Sana Pale VCCT Mbezi Beach A Atazindua DVD Yake Mpya Inayoitwa “KIVULINI PAKO” Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Read More »

Chukua Hii Kutoka Kwa Mhamasishaji Wa Mafanikio Joel Nanauka

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKila mtu mwenye malengo makubwa maishani,kuna wakati utapitia na utaona giza nene mbele yako na nguvu za kuinua mguu kwa hatua inayofuata ni kama hautakuwa nayo kabisa. Nilichojifunza ni kuwa ukifika katika majira hayo,ukifanikiwa kupiga hatua moja italeta tofauti kubwa sana kwenye maisha yako kuliko unavyofikiria.Inakuwa kama vile fursa zilikuwa zinakusibiri uamue kuishinda hali ...

Read More »

Miriam Jackson Asema Lengo Sio Kuwa Na Sauti Nzuri

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMiriam Jackson Ni Muimbaji Wa Gospel Anayefanya Vizuri East Africa Kupitia Ukurasa Wake Wa Facebook Ametoa Ujumbe Huu Kwa Waimbaji Wenzake Na Kuwataka Kutambua Kuwa Lengo¬† La Kumsifu Mungu Sio Kuimba Tu.   “LENGO SIO KUIMBA TU, WALA SIO KUWA NA SAUTI NZURI SANA PIA SIO KUTOA BURUDANI WALA SIO KUJIONYESHA UNAJUA AU UNAWEZA ...

Read More »

David Robert Anasema Huitaji Kutabiriwa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoCome on! Huitaji kutegemea kutabiriwa katika maisha yako kwa kila neno Roho Mtakatifu atakujulisha mambo yajayo. Tatizo tuko busy kuimalisha mahusiano na wanadamu kuliko Roho Mtakatifu. Katika utatu wa mwanadamu tunapenda sanaa kushinda kwenye nafsi na mwili na kuitelekeza roho. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili na kilichozaliwa na roho ni roho. Tunatafutaje majibu ya ...

Read More »

SipoKazi Nxumalo Kufanya Live DVD Recording April 24

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMuimbaji Wa Gospel Kutoka South Africa SipoKazi Nxumalo Ambaye Alikuwa Nyota Kwenye Kwaya Maarufu Duniani Soweto Gospel Choir Anatarajia Kufanya Live DVD Recording Yake April 23 Pale ROODEPORT THEATER South Africa. Kwenye Madhabahu hiyo Ya Live DVD Recording SipoKazi Atasindikizwa Na Mastar Wengine Wa Gospel Kama Vile XOLAN MDLALOSE,NOMAKHUZE NDABULA NA AYO SOLANKE.   ...

Read More »

Waimbaji Wa Gospel Tanzania Tuwe Na Nidhamu Madhabahuni

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoPastor Safari Paul Kutoka Dar Es Salaam Pentecostal Church (DPC) Amewataka Waimbaji Wa Muziki Wa Injili Kuzingatia Haya Na Kuwa Na Nidhamu wanapohudumu Madhabahuni 1. Unapokaribishwa kwenye stage kuimba, usiwambie watu simama au nyosha mikono juu kabla haujaanza kuimba. Unapo ongoza sifa kuna wakati utahitaji kuwambai watu kusimama kwa sababu ni uimbaji shirikishi. Kama ...

Read More »

Tafakari Haya Kutoka Kwa Mtangazaji Samuel Sasali

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoVigezo vya kitaaluma ulivyo navyo ambavyo ni cheti, diploma, degree, Masters vilivyokuwezesha kupata ajira, ndivyo walivyo navyo wengine na hawana kazi mtaani wanahangaika Maombi ya kufunga na kuomba unayoomba hata kujibiwa na Mungu ndio kwa maombi kama hayo wengine wameomba hadi leo bado hawajajibiwa. Barabara unayo tumia kusafiri bila shida na hatimaye kurudi nyumbani ...

Read More »

Ondoka Na Hii Kutoka Kwa Star Wa Gospel Tanzania Miriam Lukindo Mauki

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Viko vitu vitatu kama sio vinne ambavyo unaweza usione kama unavitumia vibaya lakini baada ya kuvitumia vibaya ndio unafunguka nakufahamu kuwa ulivitumia vibaya na yawezakuwa ngumu kuvirudisha au kuvifidia. Chakwanza ni muda, wakati unaupoteza muda ningumu sana kuuona kama unapotea, chapili ni pesa, pia wakati umeishika nakuitumia utalewa matumizi lakini hutafahamu kamaunatumia vibaya ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free