News

John Shabani Anusurika Kifo Huko Manyara Akiwa Guest House

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako   Legendary Wa Muziki Wa Injili Hapa Nyumbani Tanzania John Shabani Amenusurika Kifo Mara Baada Ya Kuvamiliwa Na Watu Wenye Silaha Za Jadi Huko Manyara. Kupitia Ukurasa Wake Wa Facebook John Shabani Ameandika “Jamani acha nimshukuru Mungu wangu kwa kuninusuru. Shetani alipanga kuniangamiza kabisa. Nilivamiwa huko Manyara kwenye chumba cha Guest, watu wakiwa ...

Read More »

Reginald Mengi atia neno uchaguzi wa urais Kenya

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMacho ya watu wengi kwa sasa yameelekezwa katika uchaguzi mkuu wa nchini Kenya ambao unatarajiwa kufanyika wiki ijayo ya August 8. Mfanyabiashara maarufu na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Limited, Dkt. Reginald Mengi amekuwa miongoni mwa watu wakubwa ambao wanafuatilia kwa ukaribu uchaguzi huo huku akiombea upite kwa amani tofauti na ule uliotokea miaka minne ...

Read More »

SIKIA HII YA LEO KUHUSU MADENI

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoSIKIA HII YA LEO Madeni. … Kumekuwa na tafakuri nyingi sana kuhusu madeni na kila mtu Ameweza kuchambua kwa namna yake ambavyo madeni yanaweza leta faida /hasara. Niseme tu kwamba KILA mmoja wetu anadeni kwa taifa lake/familia yake na katika vikundi mbalimbali kutegemeana na kiwango cha fursa na majukumu uliyonayo. .. Wababa tunadeni la ...

Read More »

Watu wenye matatizo ya uhafifu wa kuona na upofu kuongezeka duniani

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoIdadi ya watu wanaopata matatizo ya kuona kwa uhafifu au upofu duniani inakadiliwa kuongezeka duniani huku sababu zikitajwa kuwa ni mabadiliko ya hali ya hewa na mtindo wa maisha. Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na jarida la afya la Lancet linatabiri kuwa watu watakaopata upofu au matatizo ya kuona kwa uhafifu  wataongezeka kutoka milioni ...

Read More »

Bei ya mafuta yashuka nchini

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetoa bei kikomo ya bidhaa za mafuta aina ya petroli kwa mwezi Agosti, ambazo zimeendelea kushuka kwa miezi minne mfululizo kuanzia Aprili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Godwin Samwel, bei zinazoanza kutumika leo zimeshuka kwa Sh36 ...

Read More »

AMKA NA HII KUTOKA KWA MC KATONGO

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako8Shares Nini kimefanya watu wengi leo kuto kuwa na uhuru wa kifedha??? 1. Kutokua na maono ya fedha (Financial vision/goal)— hii inachangiwa pia na malezi ambayo babu zetu walitulea na kuto wahi kutuambia kwamba moja ya skill ambayo tunatakiwa kuwa nayo ni namna ambavyo tunaweza kuweka mpango wa a)Kumiliki fedha nyingi b) Kukuza fedha ...

Read More »

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho wa mabalozi watano

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli leo jumanne tarehe 01 Agosti 2017 amepokea hati za utambulisho wa mabalozi watano kutoka katika nchi walizotumwa kuja kuziwakilisha nchini. Mabalozi waliowasilisha hati zao kwa Rais Magufuli ni Nguyen Kim Doahu Balozi wa Vietnam, Prof Ratlan Pardede Balozi wa Indonesia, Mwadhama ...

Read More »

Eliya Andendekisye Awapa Ujumbe Huu Waandaji Wa Matamasha

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMuimbaji Na Mwanamuziki Mwenye Hit Song Ya UKO HAPA Eliya Andendekyse Kutoka Arusha The City Of Praise Ametoa Ujumbe Huu Ambao Unawahusu Waandaji Wa Matukio Mbalimbali Ya Gospel. “Natamani kuzungumza nanyi waandaji wa matukio, Ibada, na mambo mbalimbali ambayo yanamlengo wa kuhudumia Roho za watu na kuujenga Ufalme. Pale unapokuwa na shahuku ya kufanya ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free