News

Michelle Williams Aelezea Tatizo Alilokuwa Nalo Hadi Kutaka Kujiua.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako9SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Michelle Williams Ambae Anafahamika Zaidi Kama Destiny’s Child Ameweka Wazi Kutafuta Msaada Wa Afya Ya Akili. Michelle Alikuwa Na Tatizo La Msongo Wa Mawazo Lililompelekea Kutaka Kujiua. Katika Instagram Yake Michelle Aliandika; A post shared by Michelle Williams (@michellewilliams) on Jul 17, 2018 at 12:01pm PDT “Kwa miaka ...

Read More »

Video; Bishop T.D.Jakes Aeleza Tofauti Ya Kusifu Na Kuabudu.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako19SharesBishop Wa Kanisa Kubwa Marekani Linalojulikana Kwa Jina La Potter’s House Na Ambaye Amekuwa Akishauri Kuhusu Ndoa Na Anasemekana Kuwa Moja Ya Wahubiri Wenye Ushawishi Zaidi Duniani  T.D.Jakes Aeleza Tofauti Ya Kusifu Na Kuabudu. Katika Video Hiyo Bishop Jakes Alielezea Kusifu Kama Namna Au Njia Ya Kuingia Katika Uwepo Wa Mungu Na Akielezea Kusifu Kama Jambo ...

Read More »

Size8 Aja Kivingine Tofauti Na Watu Walivyomzoea.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako9SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Na Mtangazaji Wa Kipindi Cha Televisheni (Pambio Live) Size8 Ameachia Wimbo Wake Mpya Na Amekuja Kivingine Tofauti Na Watu Walivyomzoea. Mwimbaji Huyo Amezoeleka Kwa Nyimbo Za Kusifu Ambazo Ni Za Kusifu Na Kuchangamka Kama Vile Mapochopocho, Palepale, Mateke Na Halelujah. Lakini Kwa Sasa Ameakuja Na Wimbo Huu ...

Read More »

Joel Lwaga asema “Hakuna kitu cha kunikatisha tamaa”awashauri waimbaji Wa Muziki Wa Injili.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako40Shares Joel Lwaga Ni Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Hapa Nyumbani Tanzania hivi karibu ameachia Video Yake Mpya Ya wimbo Wake Yote Mema ambao unawatazamaji zaidi ya Laki moja katika mtandao wa Youtube.Joel anafunguka Mengi leo kuhusu account yake ya Instagram kuwa hacked, ni wazo gani lilikuja mpaka akapelekea kutunga wimbo wa yote mema ...

Read More »

Rais Magufuli amesema wanaohangaika watapata tabu sana

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, amesema kuwa Chama hicho kitaendelea kutawala na kitatawala milele. “CCM ni chama tawala na kitaendelea kutawala milele na milele, wanaohangaika watapata tabu sana. Chama hiki kipo na kitaendelea kuwepo na kitaendelea kuleta maendeleo kwa ajili ...

Read More »

Rev. Benjamin Dube Na Watoto Wake Waachia Video Mpya “Victorious”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako50SharesKundi La Dube Brothers Lililoko Afrika Kusini Linalojumuisha Watoto Watatu Wakiume Wa Mwimbaji Mkubwa Na Mkongwe Afrika Kusini Benjamin Dube Ambao Ni Kijana Wake Wa Kwanza Mkubwa Mthokozisi, Wa Pili Sihle Pamoja Na Watatu Buhle Wameachia Video Yao Mpya Iitwayo Victorious.   Wimbo Huo Waliufanya Jukwaa Moja Na Baba Yao Mchungaji Benjamin Dube Alipokuwa ...

Read More »

Baada Ya Ufaransa Kutwaa Ubingwa World Cup 2018 Sonnie Badu Ahesabu Ushindi Huo Kama Wa Afrika.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17SharesTimu ya taifa ya Ufaransa usiku wa July 15 2018 katika uwanja wa taifa wa Urusiunaojulikana kwa jina la Luzhniki wameweka historia mpya baada ya kufanikiwa kutwaa taji la Kombe la Dunia kwa mara pili katika historia toka watwae taji hilo kwa mara ya kwanza 1998. Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Ghana Sonnie Badu Ahesabu Ushindi Huo Kama ...

Read More »

Pastor Danny Kyungai Aongea Na Wamama Wanaowatii Manabii Kuliko Waume Zao.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako9SharesMchungaji Na Mtumishi Wa Mungu Danny Kyungai Wa Kanisa La Voice Of Praise Church Arusha Ameamua Kufunguka Na Kuongea Na Wamama Wanaowatii Manabii Kuliko Waume Zao Wakiwa Nyumbani. Katika Maelezo Yake Ameandika; “Papa I Connect..🤷Prophesy Papa.. Wakati Nyumbani Umekuwa Disconnected Kwa Upumbavu Wako. Nabii Akiingia Kanisani Mnasimama Wote Kwa Nidhamu,Mumeo Akifika Nyumbani Unaendelea Kubadilisha ...

Read More »

Mchungaji Paul Adefarasin Azungumza Jambo Analolipenda Mwanamke Kutoka Kwa Mwanaume.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako7SharesMchungaji Paul Adefarasin Wa Kanisa La House On The Rock Nigeria Aandika Jambo Analolipenda Zaidi Mwanamke Kutoka Kwa Mwanaume. Katika Maelezo Yake Mchungaji Huyo Aliandika; “Licha ya mambo mengi watu wanayosema, kitu mwanamke anapenda zaidi juu ya mwanaume ni uwezo wake wa kuchochea akili yake”. Pia Mchungaji Paul Ameongelea Kusudi La Maisha Ya Mtu ...

Read More »

Kundi La Joyous Celebration Latangaza Kugawa Sare Zake.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako46SharesKundi Kubwa Na Linalofanya Vizuri Kutoka South Afrika Joyous Celebration Limepanga Kufanya World Choir Games 2018 Na Kupanga Kugawa Sare Zao Zilizopita Kwa Kwaya Zitakazoshiriki Katika Mchezo Huo. Katika Ukurasa Wao Wa Instagram Kikundi Hicho Kilieleza Kuwa Kwaya Moja Kutoka Katika Kila Mkoa Itabahatika Kupata Sare Hiyo Kwa Wale Watakaoshiriki. Waliandika; NEWS IS “ ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free