Michezo

Jiji la Paris kuwa mwenyeji wa Olimpiki

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako6SharesJiji maarufu na lenye raha duniani nchini Ufaransa, Paris limechaguliwa  na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa kuwa mwenyeji wa michuano ya Olimpiki mwaka 2024. Jiji la Los Angeles nchini Marekani limeteuliwa kuwa mwenyeji wa michuano hiyo mwaka 2028. Mwezi uliopita, kamati hiyo ilifanya maamuzi ya kuwa Olimpiki mbili za majira ya joto zitatolewa kwa ...

Read More »

Mchezaji ghali duniani aisaidia PSG kuicharaza Celtic 5-0

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Klabu ya Celtic ilipokea kichapo kikubwa zaidi nyumbani huku Neymar akiiongoza PSG katika kombe la vilabu bingwa Ulaya. Neymar ambaye ndio mchezaji ghali duniani aliifungia timu yake mpya na kusaidia kupatikana kwa bao la pili ambalo lilifungwa na Kylian Mbappe. Edison Cavani alifunga bao la tatu kwa njia ya penalti na hivyobasi kuwahkikishia ...

Read More »

Crystal Palace yathibitisha kumsaini kocha Roy Hodgson

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKlabu ya Crystal Palace ya Uingereza imethibitisha kumteua, Roy Hodgson kuwa Meneja mpya wa timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili. Meneja huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza, Hodgson anatarajia kurithi mikoba ya Frank de Boer ambaye ametimuliwa katika kikosi hicho cha the Eagles na kumleta Ray Lewington kuwa msaidizi. Hodgson ...

Read More »

Mwamuzi wa kike asimamia mechi ya wanaume Ujerumani

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako   Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Bibiana Steinhaus amekuwa mwanamke wa kwanza mwamuzi kusimamia mechi ya Ligi ya Kuu ya Ujerumani, Bundesliga baada yake kusimamia mechi kati ya Hertha Berlin na Werder Bremen Jumapili ambayo ilimalizika kwa sare ya 1-1. Matthew Leckie alifungua ukurasa wa mabao kwa kufungia Hertha, lakini Thomas Delaney akasawazisha kipindi ...

Read More »

Kinachokwamisha Ndemla kwenda kucheza Sweden

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Kiungo mshambuliaji wa Simba Said Hamis Ndemla amepata nafasi ya kwenda kucheza kwenye klabu ya AFC Eskilstuna inayoshiriki ligi kuu ya Sweden lakini kuchelewa kwa VISA ndio kunachelewesha safari yake. Meneja wa mchezaji huyo Almasi Kisongo amesema VISA ndio kitu pekee kinachochelewesha safari ya Ndemla kwenda Sweden kukamilisha taratibu za kujiunga na AFC Eskilstuna . ...

Read More »

ARSENE WENGER ASEMA KYLIAN MAPPE NI PELE MPYA

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amemuelezea kinda machachari wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe kama Pele mpya. Akiongea na beIN SPORTS, kocha Wenger amedai kuwa Mbappe mwenye miaka 18 anaweza kuja kuwa mchezaji bora duniani. Mbappe aliyejiunga na PSG kwa mkopo akitokea Monaco alifunga goli lake la kwanza Ijumaa, ambapo anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake ...

Read More »

MKUDE: NINAYO DAWA YA KUMZUIA TSHISHIMBI

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKIUNGO wa Simba, Jonas Mkude, ameibuka na kujinasibu kuwa, anayo dawa ya kumkabili kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi raia wa DR Congo pindi wakikutana uwanjani. Mkude ameyasema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Tshishimbi kuwa gumzo kutokana na kiwango chake kikubwa ambacho alianza kukionyesha kwenye mechi ya kwanza ya Ngao ya Jamii ...

Read More »

MSUVA KUIBEBA DIFAA EL JADIDA DHIDI YA CHABAB ATLAS KHENIFRA LEO,MECHI YA LIGI KUU MOROCCO

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Winga wa zamani wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara,Simon Msuva kwa mara ya kwanza ataichezea timu ya Mpya kwenye Ligi Kuu ya Morocco,Maarufu kama ‘Botola’ Pazia La Ligi Kuu ya Morocco lilifunguliwa jana kwa mechi mbili zilichezwa hivyo Msuva na timu yake ya Difaa El Jadid watashuka kwenye uwanja ...

Read More »

Fenerbahce wanamtaka mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoHaki miliki ya picha GETTY IMAGESDiego Costa alifungia Chelsea mabao 20 msimu uliopita Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki imefanya mazungumzo na wawakilishi wa mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa kuhusu uwezekano wa kumchukua kwa mkopo. Costa, 28, amesalia nchini Brazil na amekataa kurejea England. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania alishindwa kuhama kutoka kwa mabingwa hao ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free