Michezo

TUHUMA ZA MTANDAONI ZAWALAZIMISHA TFF KUITA WAANDISHI WA HABARI

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako   Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeamua kuwaita waandishi wa habari na kutoa ufafanuzi kuhusiana na tuhuma katika mkutano utakaofanyika leo. Tuhuma wanazotaka kuzitolea ufafanuzi ni kuhusiana na kuelezwa kwamba kuna ufujaji wa fedha. Tuhuma hizo zilikuwa zikisambazwa mtandaoni na mtu ambaye alipiga mahesabu ambayo sehemu kadhaa ualuonekana kuwa yamekosewa. Hata hivyo, TFF ...

Read More »

Mahakama yaelezwa kiasi alichohongwa makamu wa raisi wa Blatter

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Bado kesi ya kutumia vibaya ofisi za FIFA inaunguruma na hii leo mashahidi kadhaa walipanda kizimbani kutoa ushahidi wao juu ya masuala ya rushwa yanayotajwa kuligubika shirika hilo wakati wa utawala wa Sepp Blatter. Kubwa lililojiri ni taarifa mpya kuhusu makamau wa zamani wa Sepp Blatter bwana Julio Grondona ambaye imetajwa mahakamani hapo ...

Read More »

Marco Asensio apiga bao la msimu La Liga

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Nchini Hispania usiku wa jana mabingwa watetezi wa La Liga klabu ya Real Madrid ilifanikiwa kuchomoza na ushindi wa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya Las Palmas. Madrid ikiwa nyumbani Bernabeu imeibuka na ushindi huo huku kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Marco Asensio akifanikiwa kufanga bao safi na linaloelezwa na wachambuzi wa soka ...

Read More »

La Liga waendelea kukomalia pesa za PSG, waipa UEFA msimu mmoja kuwatimua laa sivyo watakwenda mbali zaidi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Shirikisho la soka nchini Hispania La Liga liliwahi kulikataa dau ambalo PSG walilitoa wakati wa usajili wa mshambuliaji wa Barcelona Neymar wakisisitiza kwamba kiasi hicho cha pesa ni kikubwa kuliko uwekezaji wa PSG. La Liga walikuwa wakiamini kwamba klabu ya PSG unakiuka sheria za kuhusu matumiza ya usajili za Financial Fair Play, kitendo ...

Read More »

Ballon d’Or: Kane, Messi, Neymar, Ronaldo, Hazard, De Gea, Kante kushindania tuzo

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoHaki miliki ya pichaGETTY IMAGESKane amefungia Spurs ‘hat-trick’ mara sita mwaka huu Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane ni miongoni mwa wachezaji 30 ambao wameorodheshwa kushindania tuzo ya mchezaji bora zaidi wa kandanda duniani mwaka 2017 maarufu kama Ballon d’Or. Kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard ni miongoni mwa wachezaji wengine sita wa Ligi ...

Read More »

Kiungo wa klabu ya Chelsea apata ajali ya gari

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKiungo wa klabu ya Chelsea, Mfaransa Tiemoue Bakayoko amepata ajali mbaya ya gari jana jioni katika eneo la Blundel Lane wakati akitoka mazoezini akirudi nyumbani. Tiemoue Bakayoko Bakayoko (23) alipata ajali hiyo dakika 5 baada ya kutoka mazoezini akiwa na gari yake aina ya Mercedes Benz G63 AMG SUV baada ya kuyumba na kuacha njia. Hata ...

Read More »

Ronaldo arejea kwa mkosi La Liga: Madrid wanyukwa na Betis

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Klabu ya Real Madrid imeonja joto ya jiwe baada ya kukubali kipigo cha goli 1-0 nyumbani kwao dhidi ya Real Betis. Mchezo huo ambao ulikuwa wa kwanza wa La Liga kwa mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akuitumikia klabu yake baada ya kufungiwa mechi tano za Ligi mapema mwanzoni mwa msimu huu kwa ...

Read More »

Wayne Rooney akatwa mshahara

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKlabu ya Everton ya nchini Uingereza imemlima adhabu ya kukatwa mishahara ya wiki mbili mshambuliaji wake, Wayne Rooney kufuatia kukutwa na kosa la kuendesha gari akiwa amelewa. Wayne Rooney Makato ya fedha hizo zitapelekwa kwenye kituo cha watu wenye uhitaji maalumu nchini humo kama sera ya klabu ya Everton ya kusaidia watu wasiojiweza. Sambaza Upendo ...

Read More »

Rio Ferdinand atangaza kuhamia kwenye mchezo wa masumbwi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United, Rio Ferdinand ametangaza rasmi kuingia kwenye mchezo wa masumbwi. Rio Ferdinand Rio Ferdinand (38) aliyestaafu soka mwaka 2015 tayari ameanza kuonesha vipande vya video akifanya mazoezi huku akiahidi kuachia  documentary yake kabla ya kuanza pambano lake la kwanza la ubingwa. Leo mchana Rio Ferdinand anatarajia kuwa ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free