Michezo

Simba yatengua kauli ya Mzee Mwinyi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Rais mstaafu wa awamu ya pili ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Ally Hassani Mwinyi alikuwa mgeni rasmi wa mchezo wa Caf Champions League kati ya Simba dhidi ya Gendarmerie ulioshuhudiwa Simba ikipata ushindi wa mabao 4-0. Mh. Mwinyi alivutiwa na soka la Simba lililooneshwa kwenye mchezo huo na baada ya mechi ...

Read More »

OKWI MAMBO YAKE SAFI, YUKO TAYARI KUIVAA AZAM FC…

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako   Mshambuliaji Emmanuel Okwi ana nafasi ya kuwa katika kikosi cha Simba kitakachoivaa Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara, kesho. Simba itakuwa mwenyeji wa Azam FC katika mechi hiyo huku ikiwa na matumaini ya kumtumia Okwi ambaye ni kinara wa mabao Ligi Kuu Bara kwa sasa akiwa na mabao 12. Okwi ...

Read More »

“Fresh tu hata wakinifukuza” Antonio Conte yuko tayari kwa lolote

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Katika moja ya mkutano na waandishi wa habari ambao ulionekana kugubikwa na hisia sana ni usiku wa kuamkia leo wakati Antonio Cinte akizungumza baada ya mchezo wao dhidi ya Watford kumalizika. Chelsea walidhalilika tena kwa kupigwa bao 4 kwa 1 jambo ambalo limeendelea kuwasha moto Stamford Bridge na sasa kocha wao Antonio Conte ...

Read More »

Miaka 4 City wamemwaga £333m kwa ajili ya ulinzi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Manchester City wamekamilisha usajili wa beki Aymeric Laporte kutoka Athletic Club na sasa beki huyo anatarajia kusaini City huku usajili wa Laporte kwenda Man City ukiigharimu City kiasi cha £65m. Lakini hii sio mara ya kwanza kwa Manchester City kutoa kiasi kikubwa kwa ajili ya mabeki, na rekodi zinaonesha katika miaka hii minne ...

Read More »

Rodger Federer ashinda Grand Slam ya 20

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Wengi walitarajia kwamba huenda Federer angeibuka kidedea katika michuano ya Australia Open mwaka huu kutokana na upinzani mdogo ambao angekutana nao katika mchezo wa fainali hii leo. Na ndicho kilichotokea baada ya Mswisi huyo kumchapa mpinzani wake Marin Cilic katika mchezo wa seti 5 huku Federer akishinda kwa seti 6-2 6-7 (6-7) 6-3 ...

Read More »

Tetesi za usajili barani Ulaya, Dzeko anarudi EPL?

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako6Shares Klabu ya Chelsea inatajwa kuingia rasmi katika vita ya kumnunua mshambuliaji wa As Roma Edin Dzeko ambapo Chelsea wanajipanga kutoa £50m kwa ajili ya mshambuliaji huyo pamoja na mlinzi wa kushoto wa Roma Emerson Palmieri. Juventus wanaonekana wamerudi katika klabu ya Arsenal na sasa wanataka kumchukua beki wao Hector Bellerin, Juventus wanatajwa kwamba ...

Read More »

Man United hesabu ni tatizo au kiburi?

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Priva ABIUD Hivi majuzi kuna mwenzenu alimfananisha Hazard na Lingard binafsi naheshimu sana afya za watu maana unaweza ukamtukana mtu ukasikia kalazwa. Nilichogundua baada ya Man united kukaa miaka mitano bila ubingwa, baadhi ya mashabiki wao wanapaswa wakafanyiwe mila makwao. Maana zisharuka sasa. Vile vijitabia tulivyoviona kwa mashabaiki wa Arsenal nishaanza kuviona kwao. ...

Read More »

Kwaheri Ronaldinho Gaucho, umeufanya mpira uwe jambo la kuvutia sana

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17Shares Utata huja pale unapokuwa unauliza kuhusu nani mwanasoka bora kuwahi kutokea wa kizazi cha vijana? Achana na Cristiano Ronaldo achana na Lioneil Messi lakini kuna kundi kubwa la vijana watakutajia Ronaldinho “Gaucho”. Huyu huwezi kumuweka mbali na walipo kina Lioneil Messi an CR7 kwa kuwa Gaucho alikuwa kama jini wa soka, alionekana mtu ...

Read More »

United wanaweza fanya kile cha 1995/1996 na kubeba EPL msimu huu

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Msimu wa soka EPL mwaka 1995/1996 wakati kama huu klabu ya Newcstle ilikuwa ikiongoza ligi kwa tofauti ya alama 12 (kama Man City) na United walikuwa nafasi ya 3 lakini ligi ikaisha United wakiwa mabingwa. Katika wakati huo tayari michezo 23 ilikuwa imechezwa huku Newcastle akiwa na alama 54, Liverpool wakifuatia wakiwa na ...

Read More »

Mzee Akilimali aibuka, Adai atapinga Yanga kumilikiwa na mtu mmoja hadi kaburini

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Mwanachama mkongwe wa klabu ya Yanga, Ibrahim Akilimali, amesema kuwa ataendelea kupinga suala la ukodishwaji wa klabu hiyo hadi atakapoingia kaburini. Mzee Akilimali Mzee Akilimali amedai kuwa amekuwa na bahati mbaya kwa baadhi ya wanachama na viongozi wa Klabu ya Yanga kutokana na kupinga suala la Yanga kumilikiwa na mtu mmoja . “Nimekuwa ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free