Michezo

Mkataba wa Neymar na Nike wavuja, ni kufuru

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Yuko majeruhi na sasa inadaiwa kwamba Neymar itabidi afanyiwe operesheni ambayo inaweza kumuweka nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi mitatu hali ambayo inaweka mashakani kiwango chake. Lakini wakati Neymar akiwa majeruhi, mkataba wake na kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike umevuja, mkataba wa Neymar na Nike unaonesha kila kitu atakachopewa katika ...

Read More »

Exclusive: Carlos Quieroz kuhusu Ronaldo, namna anavyoifahamu Tanzania na namna Iran walivyojipanga na World Cup

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Timu ya Taifa ya Iran inajiandaa kucheza mashindano ya kombe la dunia ifikapo June mwaka huu, baada ya kucheza katika michuano ya 2014 – na safari hii wapo kwenye mikono ya kocha Carlos Queiroz. Kocha huyo wa kireno nimekutana nae hapa Sochi – Russia, na yeye ni mmoja wa wahudhuriaji wa warsha ya ...

Read More »

#Road2WorldCup – Unaweza kuwa na tiketi na usiruhusiwe kuingia uwanja, kwanini – sababu hizi hapa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Michuano ya kombe la dunia mwaka 2018 inayofanyika nchini Russia kuanzia June mpaka July – ni tofauti sana na michuano ya nyuma. Kanuni na sheria za nchi hii zina utofauti mkubwa ambao umepelekea mabadiliko kadhaa katika masuala ya logistics na usalama. Moja ya mabadiliko makubwa ni kwamba TIKETI pekeehaiwezi kukupa fursa ya kuingia ...

Read More »

TFF imemfungia kocha miaka 5 kujihusisha na soka

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Kamati ya Maadili ya TFF iliyokutana Februari 3, 2018 na Februari 17, 2018, katika ofisi za TFF Karume, pamoja na mambo mengine yaliyojadiliwa pia ilipitia na kutoa hukumu ya tuhuma za kutoa taarifa zisizo sahihi na kughushi leseni za usajili zilizowakabili watuhumiwa mbalimbali walioletwa mbele yake. Tuhuma hizo zilitokana na mechi namba 26 ...

Read More »

Rais wa FIFA amewasili Dar

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Rais wa Shirikisho la Soka Duniani Gianni Infantino tayari amewasili Dar es Salaam kwa ajili ya kongamano maalumu la kutathmini maendeleo ya mpira wa miguu (The Executive Football Summit). Baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. J.K. Nyerere, Infantino amepokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison ...

Read More »

Xavi awataja wachezaji hawa kuja kuchukua nafasi ya Ronaldo na Messi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoBaada ya Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ufalme wao wa soka kupotea, unatabiri wachezaji gani wengine ambao watakuwa wafalme wapya katika kushindania tuzo za Ballon d’Or? Aliyekuwa kiungo mkongwe wa Barcelona, Xavier Hernández amemtabiri kuwa wachezaji wa klabu ya PSG, Neymar na Kylian Mbappe ndio watakuwa warithi wa Ronaldo na Messi. Akiongea na RMC ...

Read More »

Maurcio Pochettino kuwatumia Juventus kuweka rekodi hii Champions League

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Champions League imerejea na hii leo 16 bora ya mashindano hayo inaanza, huu utakuwa mchezo wa kwanza kati ya Juventus na Tottenham Hotspur katika mashindano haya. Kocha Maurcio Pochettino atakuwa katika nafasi ya kufanya jambo ambalo wenzake waloshindwa, nalo ni kwenda robo fainali kwani mara mbili ambazo Tot walifika katika hatua hii walishindwa ...

Read More »

Mh. Zitto amjulia hali Mbwana Samatta Ubelgiji

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa jana jioni alikwenda Genk nchini Ubelgiji nyumbani kwa nyumbani kwa Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Ally Samatta. Zitto amesema kuwa amefurahi kumsalimia na kumjulia hali Samatta huku akieleza kuwa amefurahi kumkuta akiwa mzima ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free