Michezo

Munaosema “Lukaku mbovu” hamujui musemacho, soma hapa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mpira ni takwimu, takwimu ndio zinaonesha kufanikiwa au kutofanikiwa kwa mchezaji. Takwimu hizo ndio zinaonesha kwamba Romelu Lukaku mwaka huu ndio msimu wake bora zaidi Uingereza. Kwanza Lukaku bao lake la jana kwa United limemfanya kuwa na mabao 27, Lukaku anakuwa amefunga mabao mengi zaidi katika msimu wake wa kwanza United kuliko washambuliaji ...

Read More »

Andy Murray, Serena Williams kukonga nyoyo za mashabiki French Open

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoAndy Murray na Serena Williams wanatarajiwa kukonga nyoyo za mashabiki wao kwenye michuano ya wazi ya Tennis ya Ufaransa (French Open) baada ya kuthibitishwa kuwemo kwenye orodha ya wachezaji watakao shiriki. Murray ambaye hajashiriki mchezo huo tangu alivyofanya hivyo mwaka jana kupitia michuano ya  Wimbledon anatarajiwa kurejea tena huku mwanadada Williams akiwa amerudi Mwezi ...

Read More »

Kutoka Nike mpaka Toyota: Mikataba 31 inayomfanya Ronaldo kuwa mwanamichezo tajiri zaidi duniani

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Cristiano Ronaldo ndio mwanamichezo ambaye ana mvuto wa kibiashara kuliko yoyote duniani kutokana na deals nyingi za kibiashara alizonazo nahodha huyo wa Ureno. Kiujumla – mshindi wa mara 5 wa Ballon d’Or ana mikataba 31 na makampuni ya biashara duniani, mikataba hii inamfanya kuwa mwanamichezo anayelipwa fedha nyingi zaidi katika ulimwengu. Haijalishi ni ...

Read More »

Bado siku 77 World Cup 2018 ianze, hizi ndio rekodi 7 za kukumbukwa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Bado siku 77 tuweze kushuhudia fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi na kila shabiki wa soka ana hamu ya kufahamu michuano hiyo ambayo inafanyika mara moja kila baada ya miaka minne, hivyo kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2018 naomba nikukumbushe rekodi za Kombe la Dunia zilizopita. 1- Goli la mapema zaidi kuwahi ...

Read More »

Stars Yaifundisha Somo DR Congo Uwanja Wa Taifa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta hii leo amefanikiwa kufunga bao lake la 15 wakati Taifa Stars ilipo ikabili DR Congo mchezo wa kirafiki ya kalenda ya FIFA. Samatta amefunga bao hilo la 15 akiwa ameitumikia timu hiyo jumla ya michezo 40 na kuisaidi Stars kuchomoza ...

Read More »

Taifa Stars yaoga mvua ya magoli Algeria

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoTimu ya Taifa Stars imekubali kipigo cha magoli 4 kwa moja dhidi ya timu ya taifa yaAlgeria. Mechi hiyo imepigwa usiku wa kuamkia Ijumaa hii katika Uwanja wa Mustapha Tchaker huko Blida nchini humo. Mabao ya Algeria katika mchezo huo ambao waliutawala kwa asilimia kubwa, yalifungwa na Baghdad Bounedjah kwenye dakika za 13 na ...

Read More »

Huu ndio ufahari wa Aubameyang

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mchezaji wa Kimataifa kutoka Gabon anayekipiga Klabu Ya washika mtutu wa London Piere Aubameyang hivi karibuni amefanya matusi ya Show off. Ameita wapiga picha na kuonesha mizigo ya maana. Mchezaji huyu aliyetokea Borussia Dotmund kwa thamani ya Paundi milioni 56 ameonesha magari yake ya kibabe. Mshambuliaji huyu ameonesha ndinga za Maana ambazo zimetulia ...

Read More »

Mvua yawaokoa waarabu, Mnyama Simba SC atoka na uchu

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoVinara wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Simba hii leo imelatoka sare ya mabao 2 – 2 dhidi ya timu ya Al-Misry ya nchini Misri katika mchezo wa kombe la Shirikisho Barani Afrika. Katika mchezo huo uliyokuwa na ushindani wa hali ya juu kwa pande zote mbili waliyoanza kupata bao walikuwa ni ...

Read More »

Yanga SC yawaliza Watanzania, Warudi jangwani vichwa chini

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoWawakilishi wa Tanzania Bara wa michuano ya klabu bingwa Barani Afrika klabu ya Yanga hii leo wamekubali kipigo cha mabao 2 – 1 kutoka kwa timu ya Botswana ya Township Rollers FC mchezo uliyopigwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Tshireletso kutoka timu ya Township Rollers FC kisha Obrey Chirwa akaisawazishia Yanga SC  ...

Read More »

Kilichomuua mchezaji wa Fiorentina hiki hapa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Na Priva ABIUD Alizaliwa January 7 mwaka 1987 katika viunga vya San Giovanni Bianco nchini Italia. Davide Astori ni moja kati ya nyota wa mchezo wa Soka aliezaliwa katika mkoa wa Bergamo. Astori alianza kucheza soka la mtaani akiwa mdogo katika timu ya Pontisola na hatimae kipaji chake kikaonekana na haraka akajiunga na ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free