Michezo

Simba SC waing’arisha Tanzania nchini Kenya, watinga nusu fainali michuano ya SportPesa Super Cup

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14SharesKlabu ya Simba SC imefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kwa kuichabanga goli 3-2 klabu ya Kariobangi Sharks FC kwa njia ya changamoto ya mikwaju ya penati baada ya timu hizo kutoka 0-0 ndani ya dakika 90 . Simba SC inakuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufuzu kwenye michuano hiyo hii ...

Read More »

Bilionea wa Chelsea Roman Abramovich apewa uraia Israel baada ya kutoswa Uingereza

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMmiliki wa klabu ya Chelsea ya Uingereza, bilionea mwenye asili ya Urusi, Roman Abramovich amepewa uraia wa nchini Israel. Imedaiwa kuwa Abramovich amefikia maamuzi ya kuhamia Israel baada ya Uingereza kumcheleweshea kumpatia Visa katika kinachoonekana kilichochangia zaidi ni mzozo wa kidplomasia uliopo kati ya Uingereza na Urusi. Mzozo huo uliibuka March 4 mwaka huu ...

Read More »

Tiketi ya bombadia: Ronaldo atacheza hapa?

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako1Share Na: DANIEL S.FUTE Inaendelea…. HADI sasa zimesalia wiki mbili tu kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia. Vile vile nitakuwa nimebakiza viwanja vitatu ambavyo vitatumiwa katika fainali hizo, kwaajili ya kuvizungumzia katika makala hii. Leo tunasonga tena na muendelezo wa kiwanja cha tisa, baada ya Samara Arena. Mordovio Arena Mordovio Arena ni Uwanja ...

Read More »

Geoff Lea baada ya kusikia Shaabani Idd kafunga hat-treak

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Geoff Lea baada ya kusikia Shaabani Idd kaweka hat-treak jana kwenye mechi ya Azam 4-1 Tanzania Prisons hakuificha furaha yake na haya ndio yalikuwa maoni yake kuhusu uwezo wa Shaabani Idd Chilunda. Hat-treak ya Shaabani Idd ni taarifa ambayo imenifurahisha, ni mchezaji ambaye namtazama kwa jicho la mbali sana namuona ni mshambuliaji ambaye ...

Read More »

Manchester United yatajwa kuwa brand ghali zaidi katika vilabu vya soka duniani

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Utafiti uliofanywa na kampuni ya Brand Finance inayohusiana na brands/chapa katika soka uliofanyika mwaka 2018 unaonesha kwamba klabu ya Manchester Unites ndio brand ghali zaidi kwa sasa. Utafiti unaonesha thamani ya klabu hiyo ni kiasi cha £1,325 millions na japokuwa hawajachukua kikombe chochote kikubwa inawafanya kuwa juu ya vilabu vyote duniani ikiwemo Real ...

Read More »

Simba ushindi ndani na nje

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Ndiyo hivyo, Simba imeshinda ndani na nje ya uwanja. Goli pekee la Erasto Nyoni kwenye pambano la Kariakoo Derby limeipa Simba pointi tatu na kuendelea kuusogelea ubingwa wa VPL msimu huu. Ukiachana na ushindi huo, ushindi mwingine Simba wameupata nje ya uwanja  ambapo wafanya biashara wa jezi wamethibisha kwamba katika mchezo huo wameuza ...

Read More »

UEFA: Mo Salah, Mane na Firmino wapeleka kilio Italia

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKwa moto huu wa Mohamed Salah, Roberto Firmino na Sadio Mane ni wa kuuzima? Klabu ya soka ya Liverpool usiku wa jana imefanikiwa kuingiz mguu mmoja katika hatua ya fainali ya klabu bingwa barani Ulaya baada ya kuifunga AS Roma kwa mabao 5-2. Katika mchezo huo wa nusu fainali ya kwanza uliochezwa kwenye uwanja ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free