Michezo

PICHA ZA MTOTO BRADLEY ANAYEUGUA KANSA AKIWASHUKURU SUNDERLAND NA MASHABIKI WAKE

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Bradley Lowery ni kijana shabiki wa Sunderland ambaye amekuwa akipambana na ugonjwa wa kansa. Desemba mwaka jana wazazi wake walielezwa wazi kwamba matibabu watakayofanya nchini Marekani yatasaidia tu kupeleka mbele maisha ya kijana huyo lakini hatapona. Bradley amekuwa karibu na mshambuliaji nyota wa Sunderland, Jermaine Defoe. Mara zote kijana huyo na familia yake ...

Read More »

SIKU MOJA TU BAADA YA KUSAINI SPORTPESA, MO DEWJI AITAKA SIMBA IMLIPE SH BILIONI 1.4

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Unaweza kuweza kusema sasa mambo yanazidi kuamka baada ya mmoja wa wanachama maarufu wa Simba, Mohammed Dewji kuiambia Simba imlipe kiasi cha Sh bilioni 1.4 anazoidai. Mo Dewji amewaambia Simba wamlipe mara tu baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa. Taarifa zinaeleza, Mo alikuwa akiikopesha ...

Read More »

KAZI YA SERENGETI BOYS GABON INAANZA JUMATATU, ANACHOAMINI SHIME HIKI HAPA

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Kocha wa timu ya taifa vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Bakari Shime amesema watahakikisha wanapata ushindi dhidi ya Mali  katika mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) utakaochezwa keshokutwa Jumatatu kwenye Uwanja wa Port Gentil, Gabon. Serengeti imepangwa Kundi B sambamba na mabingwa watetezi wa michuano hiyo Mali, ...

Read More »

TAMBWE ASEMA ANA UHAKIKA MFUNGAJI BORA ANATOKEA JANGWANI

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Amissi Tambwe wa Yanga amesema kwa jinsi mambo yanavyokwenda, ana uhakika asilimia 100 mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara atatokea katika timu yake. Tambwe amesema anapata nguvu ya kutoa kauli hiyo kutokana na ukweli kwamba, katika kikosi chao ndipo wanapotokea wachezaji wengi wanaojua kufunga. Simon Msuva wa Yanga ana mabao 13 akifuatiwa na ...

Read More »

PICHA YA SIKU; ALIYEIHAKIKISHIA CHELSEA UBINGWA AUONYESHA “MAUJUZI’ KATIKA UPAPARAZZI

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Michy Batshuayi ndiye aliyefunga bao lililoipa helsea ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wes Brom lakini kuihakikishia kubeba ubingwa wa England, msimu huu.  Chelsea wamefunga Wes Brom kwa bao 1-0 na kujihakikishia kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England licha ya kubaki na mechi mbili mkononi. Hapa anaonekana akiwa amechukua moja ya kamera ya ...

Read More »

Mwamuzi wa Simba vs Azam chini ya ulinzi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mwamuzi Mathew Akrama aliyechezesha mechi ya nusu fainali ya Azam Sports Federation Cup kati ya Simba dhidi ya Azam alihitaji msaada wa jeshi la polisi kutoka uwanjani kwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo baada ya kuzongwa na wachezaji pamoja na benchi la ufundi la Azam FC. Wachezaji na benchi la ufundi la timu ...

Read More »

Zlatan Ibrahimovic amekataa kulipwa mshahara na Man United

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden anayeichezea Man United ya England Zlatan Ibrahimovic amerudi kwenye headlines baada ya maamuzi yake kuandikwa na vyombo vya habari, Zlatan ameripotiwa na mtandao wa dreamteamfc.com kuwa amekataa kulipwa mshahara na Man United. Zlatan Ibrahimovic atakuwa nje ya uwanja katika kipindi cha miezi 9 baada ya kuumia goti lake ...

Read More »

Usiku uliopita kitanda kilikuwa kizito kwa sisi wanasoka.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Usiku wa Jumatano wa tarehe 26 mwezi April ulikuwa usiku wa soka, mpira ulipigwa sana na mechi zilikuwa kali sana nyingine zikiwa kubwa na kuvuta hisia. Sahau kuhusu kipigo Barcelona alichowapa Osasuna cha bao saba kwa moja kilichowafanya Osasuna kushuka daraja rasmi na sahau kuhusu bao la kujifunga la Roberto Huth lililowapa Arsenal ...

Read More »

Fellaini kapigwa umeme na Machester Derby hakuna mbabe.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoUsiku wa Alhamisi ya tarehe 23 kulikuwa na mpambano mkubwa katika uwanja wa nyumbani wa Manchester City ambapo klabu hiyo iliwakaribisha majirani zao wa Manchester United. Mpambano huo ulikuwa muhimu kwa pande zote mbili haswa katika kipindi hiki ambacho wako katika mbio za kuwania kucheza ligi ya champions league msimu ujao. Mechi hiyo ambayo ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free