Michezo

Rasmi: Safari ya Alvaro Morata kwenda Chelsea yaiva

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano kumnunua mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata kwa ada inayoripotiwa kuwa £70m. Mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Uhispania sasa anatakiwa kuafikiana masuala yake ya kibinafsi na klabu hiyo na pia achunguzwe hali yake ya kiafya kabla ya kukamilisha uhamisho wake. Morata, 24, atakuwa mchezaji wa nne ...

Read More »

Kiatu cha Wenger chawa gumzo China

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger  ameonekana kuzua gumzo baada ya kuonekana kuvaa raba ambazo si kawaida yake. Raba hiyo imegeuka imekuwa gumzo baada ya kuonekana ni kiatu maalum chenye nembo ya Arsenal. Wenger alikuwa katika bench wakati Arsenal ilipoifunga Bayern Munich kwa mabao 3-2 kupitia mikwaju ya penalti katika michuano ya ...

Read More »

(Picha)Everton yazidi takata michezo ya kirafiki

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Mara baada ya klabu ya Everton kuwafunga mabingwa wa Sportpesa Super Cup, Gor Mahia kwa jumla ya magoli 2-1 mchezo uliyochezwa Julai 13 katika uwanja wa taifa jiji Dar es salaam timu hiyo ya Uingereza imeendeleza vipigo katika michezo yake ya kirafiki. Everton imeifunga klabu ya FC Twente ya nchini Uholanzi kwa jumla ...

Read More »

Tarajia kutazama mechi za klabu bingwa Ulaya (UEFA) kupitia Facebook

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Kampuni ya Facebook Inc ipo kwenye mazungumzo na Kampuni ya 21st Century Fox Inc ya kuonesha mechi za Klabu bingwa barani Ulaya kupitia mtandao wake wa Facebook kuanzia msimu mpya ujao unaotarajiwa kuanza mwezi Septemba. Mwanzilishi na CEO wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg Facebook wamefikia makubaliano hayo kwa kutumia Channel ya Fox Sports ...

Read More »

LUKAKU AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO MAN UNITED IKISHINDA 2-1 MECHI YA KIRAFIKI MAREKANI

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako REAL SALT LAKE (4-5-1): Rimando; Beltran, Glad, Horst, Phillips; Beckerman, Stephen, Savarino, Rusnak, Plata; L Silva. Subs: Fernandez, Sparrow, Wingert, Maund, M Silva, Acosta, Dunk, Schmidt, Schuler, Besler, Mulholland, Hernandez, Brody, Saucedo, Lennon. Scorer: L Silva 20 MANCHESTER UTD (4-4-1): J Pereira (Romero 46); Fosu-Mensah (Valencia 46), Lindelof (Bailly 46), Jones (Smalling 46), Blind (Darmian 46); ...

Read More »

Nani mtu sahihi kuvaa viatu vya Diego Costa?

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Siku zinakwenda tu na masaa yanakatika kuelekea ufunguzi wa ligi kuu nchini Uingereza Epl hapo mwezi wa 8 na kila timu inapambana kuhakikisha inakuwa tayari kwa ajili ya mapambano hayo. Chelsea bado wanachechemea kusaini striker namba 9 nafasi ambayo ni lazima wasajili kama Diego Costa ataondoka kama inavyoonekana, japokuwa tayari wamefanya sajili kadhaa ...

Read More »

Mashindano ya riadha ya dunia kwa vijana yamalizika nchini Kenya

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Kenya imefanikiwa kuandaa mashindano ya dunia ya riadha kwa vijana wasiozidi miaka 18. Mashindano haya yamekuwa yakifanyika kwa muda wa siku tano zilizopita katika uwanja wa Kimataifa wa Moi Kasarani jijini Nairobi. Afrika Kusini ilimaliza ya kwanza kwa medali 11, ikifutawa na China pia kwa medali 11. Cuba ilimaliza ya tatu huku Kenya ...

Read More »

SIMBA YAPAA SAUZ, YAMUACHA KOCHA WAKE WA MAKIPA DAR

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Simba imewasili nchini Afrika Kusini leo asubuhi tayari kuanza kambi. Hata hivyo, kikosi hicho kimeondoka bila ya kocha wake wa makipa, Iddi Salim raia wa Kenya ambaye inaelezwa kabaki jijini Dar es Salaam. Taarifa zinaeleza, Simba imemchukua Mwarami lakini bado haijavunja mkataba na kocha huyo ambaye yuko katika hoteli moja jijini Dar es ...

Read More »

WALICHOTUPA SPORTPESA, EVERTON TUNASTAHILI KUSEMA AHSANTE PIA

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Na Saleh Ally KUNA picha inasambaa katika mitandao mbalimbali ulimwenguni, wachezaji wa Everton FC ya England wakiwa wameshika bango lililoandikwa “Asante Tanzania”. Kwa mujibu wa mtandao wa mashabiki wa Everton, unaeleza kwamba kwa Ulaya wanakadiria bango hilo limesomwa au kuonwa na zaidi ya mashabiki milioni 12 wa soka. Pia wanaamini bango hilo limeonekana ...

Read More »

Tetesi za usajili Ulaya, Wenger hataki utani

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Kinachofanywa na Ac Milan sokoni kwa sasa hakika ni fujo, inasemekana klabu hiyo ya nchini Italia sasa imehamishia majeshi yake kwa Alvaro Morata na wako tayari kuwapa Real Madrid £70 ili kumnunua. Golikipa wa zamani wa klabu ya Manchester City Joe Hart anakaribia kukamilisha uhamisho wake kwenda West Ham na ripoti zinasema hii ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free