Michezo

Baada ya kukosewa Maneno kwenye Ngao ya Jamii, TFF wazungumza haya;

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Kufutia kukosewa kwa neno kwenye Ngao ya Jamii siku ya Jana, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limeomba radhi wanafamilia wote wa mpira wa miguu kutokana na makosa hayo yaliyoonekana kwenye utambulisho wa Ngao ya Jamii iliyotolewa Jumatano Agosti 23, 2017. Ngao hiyo ilitolewa mara baada ya mchezo uliokutanisha timu za Simba ...

Read More »

Tuzo za Ndondo Cup 2017 zilivyotolewa kwa washindi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako19Shares Balozi wa Ndondo Cup-Victor Wanyama Usiku wa August 21, 2017 waandaji wa michuano ya Ndondo Cup walitoa tuzo mbalimbali kwa washindi wa tuzo binafsi pamoja na zile za vikundi lakini pia zilikuwepo tuzo za heshima. Tuzo ambazo zilitolewa ni pamoja na shabiki bora, tuzo ya heshima, kikundi bora cha ushangiliaji, mwamuzi bora, mwandishi ...

Read More »

ROONEY APIGA BAO LAKE LA 200 PREMIER MBELE YA MOURINHO, MAN CITY, EVERTON ZAMALIZA 1-1, KADI MBILI NYEKUNDU ZATOKA

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako   Mshambuliaji Wayne Rooney wa Everton amefunga bao lake la 200 katika Ligi Kuu England wakati timu yake ikitoka sare ya mabao 1-1 dhidi ya Man City. Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho alikuwa uwanjani hapo akishuhudia mechi hiyo kwenye Uwanja wa Etihad. Everton wanaodhaminiwa na SportPesa waliokuwa ugenini ndiyo walikuwa wa kwanza ...

Read More »

MANJI AUGUA GEREZANI, ASHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji, jana Ijumaa alishindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili kwa kile kilichoelezwa kutokuwa vizuri kiafya. Huku Manji akishindwa kufika mahakamani hapo, watuhumiwa wenzake watatu ambao ni Deogratius Kisinda, Abdallah Sangey na Thobias Fwere, walifika lakini ...

Read More »

Jengo la Yanga kupigwa mnada Agosti 19

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Mahakama yaamuru Jengo la klabu ya Yanga lililopo maeneo ya Jangwani kuuzwa kwa mnada Agosti 19 baada ya kudaiwa kodi ya ardhi ya zaidi ya shilingi milioni 300. Hata hivyo uongozi wa klabu ya Yanga umeeleza kushtushwa na hatua ya serikali kutaka kulipiga mnada jengo hilo ambalo ni makao ya klabu na kuahidi ...

Read More »

Ndoto ya Usain Bolt kucheza Manchester United huenda ikatimia Mwezi Septemba mwaka huu

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Huenda ndoto ya Mwanariadha kutoka Jamaika Usain Bolt kucheza Mpira wa Miguu katika Dimba la Old Traford ikatimia Septemba 2 wakati Timu ya Wachezaji wakongwe wa  Manchester United itakapokutana na Maveterani wa Klabu ya Barcelona. Bolt ambaye ni Mshindi mara nane wa Medali ya Dhahabu katika Mashindano ya Olimpiki amejumuishwa kwenye kikosi cha ...

Read More »

Niyonzima awajibu wabaya wake, awaweka roho juu Yanga Ngao ya Jamii

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Haruna Niyonzima ambaye ni mchezaji mpya wa klabu ya soka ya Simba SC aliyekuwa akicheza kwa mahasimu wao Yanga, amefunguka maneno ambayo yanaonekana ni kama madongo wa watu wanaomchukia kwa sasa. Akiongea na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Rayon Sports ya Rwanda, mchezaji huyo ...

Read More »

PSG kumtambulisha Neymar kwa ‘mbwembwe’ jumatano

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKwa mashabiki wa klabu ya Barcelona huenda wasiamini tetesi za mshambuliaji wao Mbrazil, Neymar Jr kuwa ameitosa klabu yake na kuhamia kwa matajiri wa Ufaransa, Paris Saint-Germain, ukweli ni kwamba dili hilo ni asilimia 98 limeshatiki kinachosubiriwa ni masaa tu atangazwe. Neymar Jr Kwa mujibu wa magazeti makubwa nchini Ufaransa kama L’Équipe na Europe 1 yametangaza kuwa ...

Read More »

Nahodha wa zamani wa Simba SC amwaga wino Mtibwa Sugar

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoNahodha wa zamani wa klabu ya Simba aliyekuwa anakipiga kwa mkopo African Lyon, Hassan Isihaka amejiunga na klabu ya Mtibwa Sugar kwa mkataba wa miaka miwili. Hassan Isihaka Hassan Isihaka alipelekwa kwa mkopo na Simba SC kunako klabu ya African Lyon baada ya kukosa namba ya kudumu klabuni hapo na anakuwa mchezaji wa tano ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free