Michezo

MGHANA WA SIMBA AIWAHI AZAM FC

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako10Shares KOCHA Mkuu wa Simba, Mcameroon, Joseph Omog, amefarijika baada ya kupewa taarifa za kurejea nchini kwa mshambuliaji wake wa kimataifa Mghana, Nicholaus Gyan aliyedumu na kikosi cha timu hiyo kwa muda wa siku moja kisha akaondoka zake. Gyan ambaye amesajiliwa na Simba hivi karibuni akitokea Ghana, awali alitua nchini siku moja kabla ya ...

Read More »

Mbappe afunguka sababu za kujiunga PSG na kuitosa Real Madrid

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako11Shares  Mchezaji kinda wa klabu PSG aliyesajiliwa jana kwa uhamisho wa Euro milioni 165 kwa mkopo akitokea AS Monaco, Kylian Mbappe amefunguka sababu za kuitosa klabu ya Real Marid ambayo ilikuwa inamuhitaji kwa muda mrefu. Kylian Mbappe Mbappe amesema amechukua uamuzi wa kuhamia kwenye klabu hiyo na kuipiga chini Real Madrid kwa kuhofia kukosa nafasi ya ...

Read More »

DOGO ALIYEANGUA KILIO MBELE YA MESSI HUKO URUGUAY, APATA ALICHOKITAKA

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mtoto mmoja wa Uruguay amepata bahati ya kuzungumza na kukumbatiwa na shujaa wake, Lionel Messi sekunde kadhaa baada mlinzi kumuondoa asimfike. Mtoto huyo alifanya juhudi za kumfikia Messi, hatua chache kabla, mlinzi aling’amua nyendo zake na kumzuia. Hali iliyosababisha dogo aangue kilio kama ana msiba na Messi tayari aliliona tukio hilo. Baada ya ...

Read More »

Aggrey Moris na Sure Boy kuendelea kuitumikia Azam mpaka 2019

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako8Shares NYOTA wawili wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC ambao ni nahodha msaidizi Aggrey Morris Ambrosse pamoja na Salum Abubakar ‘Sure Boy’ wameongeza Mkataba wa mwaka mmoja kwa kila Mchezaji kuendelea kuitumikia timu hiyo.   Awali mikataba ya Wachezaji hao ilitarajiwa kuisha mwishoni mwa msimu huu, hivyo kwa kuongeza mikataba ...

Read More »

The Gunners wagoma kumtoa Sanchez

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Kiasi cha paundi milioni 50  cha Manchester City kumsajili mshambuliaji, Alexis Sanchez  kimekataliwa na klabu ya Arsenal. Sanchez mwenye umri wa maiaka 28 ameifungia Arsenal mabao 24 katika msimu uliyopita anahitaji kukichezea kikosi cha Meneja, Pep Guardiola lakini inaonekana kuwepo na kikwazo kutoka ndani ya klabu yake. Arsenal wamezungumza na Sanchez ili asalie ...

Read More »

Ndege yamsafirisha kiungo wa Azam FC kufanyiwa vipimo

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMchezaji wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Joseph Kimwaga amerejea Dar se salaam kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa goti lake la mguu wa kushoto lililopata mshtuko. Kimwaga aliyekuwa ameanza kurejea vema kwenye kiwango chake kilichomtambulisha huko nyuma, amepata majeraha hayo kwenye Uwanja wa Chuo cha Ualimu cha TTC cha ...

Read More »

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoBondia maarufu zaidi duniani, Floyd Mayweather ameendeleza ubabe kwenye mchezo huo kwa kumtwanga Knock Out  bingwa wa UFC Conor McGregor kwenye mchezo wa ubingwa. Mayweather kulia akimtwanga sumbwi la ushindi McGregor kwenye raundi ya 10 ya pambano. Katika raundi ya kwanza na ya pili, McGregor alionekana kumzidi Mayweather huku refa akamuonya kutokana na aina ...

Read More »

Yondani amejea Stars baada ya kukaa nje kwa mwaka mmoja

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Beki wa Kati wa Yanga Kelvin Yondani amerejea kwenye kikosi cha tim ya taifa ‘Taifa Stars’ baada ya kuwa nje ya Stars tangu September 2016 wakati Charles Boniface Mkwasa akiwa kocha mkuu. Kocha mkuu wa Stars Salum Mayanga amemjumuisha Yondani kwenye kikosi cha wachezaji 21 ambao watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Botswana ...

Read More »

Maisha yangu yapo hatarini baada ya kuhamia Simba – Niyonzima

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKiungo wa kimataifa wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima amefunguka na kudai haikuwa jambo rahisi yeye kuchukua maamuzi ya kuchezea Simba ila anamshukuru Mungu kwa kumtoa hofu ya kushambuliwa na kuuliwa na mashabiki wa Yanga wasiofahamu mchezo. Kiungo wa kimataifa wa Klabu ya Simba Haruna Niyonzima. Niyonzima amezungumza hayo ikiwa zimepita siku chache tokea ...

Read More »

BAADA YA KUPIGA BAO LAKE LA KWANZA SAUZ, BANDA AFUNGUKA

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Beki wa kimataifa wa Tanzania anayecheza kwenye timu ya Baroka FC ya Afrika Kusini, Abdi Banda, amefunguka baada ya hivi karibuni kufunga bao lake la kwanza tangu ajiunge na timu hiyo. Banda ambaye amejiunga na timu hiyo hivi karibuni kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Simba, Jumanne ya wiki hii alifunga bao la ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free