Michezo

Azam FC wapo tayari kumvaa ‘mnyama’ Simba SC.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoKuelekea mchezo wa Azam FC v Simba SC, Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffar Iddi Maganga amesema kuwa kikosi chao kinaendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo huo na wanaamini watapata ushindi kwa jinsi walivyojipanga kwenye idara zote. Timu hizo zinakutana Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni mwendelezo wa Ligi Kuu ...

Read More »

FIFA YAAMUA MECHI YA AFRIKA KUSINI NA SENEGAL KURUDIWA TENA.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mechi ya kufuzu Michuano ya kombe la dunia kati ya Afrika Kusini na Senegal itarudiwa tena baada ya refa aliyesimamiwa mechi hiyo kupigwa marufuku na Fifa. Refa huyo raia wa Ghana Joseph Lamptey, alipiwa marufuku kwa kusimia mechi kwa njia isiyofaa alikutwa na kosa la kuwapa penalti Afrika Kusini ambao walishinda kwa mabao ...

Read More »

OZIL ATUPIA UJERUMANI IKIIFUMUA NORWAY 6-0, LAKINI BADO KOMBE LA DUNIA

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Ujerumani imeshinda kwa mabao 6-0 dhidi ua Norway lakini bado haijajihakikishia kufuzu Kombe la Dunia. Mesut Ozil alifunga bao moja huku akiwa kiungo muhimu kwa kuwa alikuwa katika kiwango bora. Ushindi wa Ireland Kaskazini wa mabao 2-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech unaifanya Ujerumani isiwe na uhakika wa asilimia mia. Wengine waliofunga mabao ...

Read More »

La Liga yaishitaki Ma city, matumizi makubwa ya fedha

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMan City imekuwa na mabadiliko makubwa tokea kuchukuliwa na wamiliki wa Abu Dhabi mwaka 2008. Shirikisho la soka nchini Hispania (La Liga) limeliandikia barua shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) wakitoa malalamiko kuhusu ukiukwaji wa sheria za matumizi Financia Fair Play (FFP) unaofanywa na klabu ya Man City. Raisi wa La Liga Javier Tebas ...

Read More »

Sharapova atupwa nje ya michuano ya US Open

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMcheza tenisi raia wa Urusi, Maria Sharapova ameyaaga mashindano ya wazi ya Marekani (US Open) baada kukubali kipigo kutoka kwa mwanadada, Anastasija Sevastova katika mzungungo wa nne. Ikiwa ni michuano yake ya kwanza ya Grand Slam toka akae nje ya uwanja kwa mwaka mmoja na miezi 7 amekubali kipigo cha jumla ya seti 5-7 ...

Read More »

PAMOJA NA KUONGEZEWA MUDA WA MATIBABU, YAELEZWA KAPOMBE ANAWEZA KUWAHI KUREJEA UWANJANI

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Pamoja na daktari kumuongezea wiki mbili zaidi za matibabu, huenda beki Shomari Kapombe atarajea mapema dimbani. Kapombe ambaye anasumbuliwa na nyonga, aliongezewa wiki mbili za kupata matibabu. Lakini taarifa kutoka Simba zinaeleza huenda beki huyo akarejea mapema kama kutakuwa na maendeleo mazuri. “Kweli ni wiki mbili lakini daktari anachofanya ni kuangalia hali inavyokwenda. ...

Read More »

Arsenal na Chelsea wafanya kitu kilichowashinda Manchester United katika usajili

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Usajili nchini Uingereza umefungwa rasmi usiku wa Alhamisi, timu nyingi zilifanya manunuzi makubwa hali iliyopelekea vilabu 14 vya ligi hii kuvunja rekodi yaonya usajili ambayo iliwekwa na wachezaji wengine hapo mwanzo. Arsenal, wakati Mesut Ozil ananunuliwa kwenda Gunners mwaka 2013 ndio aliweka rekodi ya usajili ghali baada ya kununuliwa kwa £42m toka Real ...

Read More »

Rooney kupandishwa kizimbani kwa makosa mawili

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMshambuliaji wa Everton Wayne Rooney amekamatwa na baadae kuachiliwa kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa, polisi mjini Cheshire imesema. Rooney alikamatwa baada ya polisi kusimamisha gari aina ya Volkswagen Beetle ambayo alikuwa anaendesha. Polisi wa Cheshire wanasema Rooney mwenye miaka 31, ana mashtaka ya kujibu kwa kukutwa akiendesha gari akiwa amelewa na akiwa ...

Read More »

Wayne Rooney aingia matatani na polisi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Baada ya kuachana na timu ya taifa huku msimu huu akiwa katika kiwango kizuri sana na Everton lakini usiku wa jana mshambuliaji Wayne Rooney alijikuta matatizoni na polisi nchini Uingereza. Wayne Rooney alikamatwa usiku wa jana na mapolisi katika eneo jirani kabisa na kwake kwa kile kinachodaiwa kwamba alikuwa akiendesha gari lake huku ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free