Michezo

Ujumbe huu wamkera Manara ‘Kusajili mchezaji kutoka Yanga kwa sasa ni sawa na kula mali ya yatima’

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amewataka mashabiki wa timu hiyo kuacha kuandika maneno ya dhihaka dhidi ya watani wao wa jadi Yanga na badala yake watumie muda huu kuwasaidia kisaikolojia kutokana na wakati mgumu wa ukata wanao pitia. Manara ameyaeleza hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram huku akiposti ...

Read More »

Ni muda wa Neymar kumfuata Perez apate makombe au kubaki na El Khelaifi ale pesa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17Shares Majina 10 ya nyota watakaochuana katika tuzo za mchezaji bora wa Fifa yametoka, lakini habari kubwa ni kutokuwepo kwa mshambuliaji wa Brazil na PSG Neymar katoka orodha hiyo. Watu wengi wameshangazwa na jambo hilo japo ukiiangalia orodha yenyewe unaweza kubaki kujiuliza Neymar alitakiwa amuondoe nani katika orodha hiyo ili akae yeye? Raphael Varane ...

Read More »

DAKIKA 120 ZA MKONGOMANI SIMBA ACHA KABISA

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako9Shares Kwa mara ya kwanza baada ya kutua nchini na kujiunga na kikosi cha Simba, kiungo mpya wa timu hiyo, Kakule Mighuen Fabrice raia wa DR Congo, juzi Jumatatu alianza mazoezi kwenye timu hiyo na kuonyesha uwezo mkubwa huku mashabiki wao wakiwapiga vijembe wa­tani wao Yanga kuwa wata­pata tabu sana msimu ujao. Kiungo huyo, ...

Read More »

Mecky Sadick afunguka Tarimba kujiuzulu Yanga

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Abbas Tarimba ameamua kujiondoa kwenye kamati maalum iliyoundwa na Bodi ya Wadhamini ya Yanga kwa ajili ya kuisaidia timu hiyo katika mambo mbalimbali ikiwemo usajili na kusaidia upatikanaji wa fedha. Miongoni mwa sababu alizozitoa Tarimba hadi kufikia uamuzi wa kujiuzulu ni kutofurahishwa na namna mambo yanavyokwenda huku akilalamika kamati yao kubezwa. Makamu mwenyekiti ...

Read More »

“Nusu fainali kombe la dunia 2018 hazina msisimko”-Shaffih Dauda

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako11Shares Kuelekea katika mechi za nusu fainali kombe la dunia Russia, mechi ya kwanza itachezwa leo uwanja wa St Petersburg ambapo Ufaransa watacheza na Ubelgiji, mechi nyingine itakuwa katika jiji la Moscow ambapo England watacheza na Croatia mechi ambayo imekuwa gumzo na imewasafirisha watu wengi kutoka visiwa vya Uingereza kwenda Russia kutoa support kwa ...

Read More »

Kuelekea Robo Fainali, Harry Kane ndiye mchezaji tishio zaidi Urusi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako16Shares “Its Coming Home” hayo ndio matumaini ya Waingereza msimu huu wa kombe la dunia, Uingereza wanaona hii ni nafasi yao kwa kurudisha kombe nyumbani na matumaini zaidi ni baada ya ushindi wa jana vs Colombia. Harry Kane bado anaonekana kuibeba Uingereza, baada ya jana kuifungia bao kwa mkwaju wa penati ambalo linakuwa bao ...

Read More »

Barua ya Adres Iniesta kwa mashabiki zake

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako4Shares Kati ya matokeo ya kustaajabisha katika kombe la dunia 2018 ni baada ya Hispania kuondolewa katika michuano hiyo na timu ya taifa ya Urusi, baada ya matokeo hayo wengi walitabiri unaweza kuwa mwisho wa nyota kadhaa. Kati ya viungo bora kuwahi kuonekana katika viwanja vya soka ni Andres Iniesta, lakini umri wa Iniesta ...

Read More »

Barcelona yamrudisha Abidal Camp Nou

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako13Shares ALIYEKUWA mchezaji wa zamani wa Barcelona Eric Abidal, anatarajia kuchukua nafasi ya kuwa mkurugenzi wa michezo katika klabu ya Barcelona kwa msimu wa 2018-19. Klabu hiyo imethibitisha kwamba, Abidal atachukua nafasi ya Robert Fernandez ambaye alikuwa akiitumikia nafasi hiyo. Mkataba wa Robert upo mbioni kumalizika mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, na Barcelona ...

Read More »

Mchezaji kulipwa 150,000 kila mechi Ndondo Cup

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Emanuel Memba (kulia) wa Kauzu FC akiwania mpira na beki wa Friends Rangers Mgaya Juma wa Friends Rangers wakati wa mchezo wa nusu fainali ya Ndondo Cup Mabibo Market kupitia kwa kiongozi wake imeweka wazi kiasi ambacho atalipwa kila mchezaji kwa kila mechi atakayocheza kwenye mashindano ya Ndondo Cup msimu huu. Naomi Kibago ...

Read More »

TOP 10: List ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi 2017/18

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Jarid la Forbes ambalo limekuwa na utamaduni wa kuandika habari zenye utafiti kutokana na uchunguzi wao, leo limetaja list ya wanamichezo wanaoongoza kulipwa pesa nyingi kwa mwaka. Bondia Floyd Mayweather Jr (Kushoto) na Conor McGregor List hii iliyotolewa na Forbes ni kuanzia June 2017 hadi June 2018 ambapo bondia Floyd Mayweather ndio ameongoza ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free