Events

Hango Kukaa Miezi Mitatu Nchini Canada

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako204SharesKiongozi Na Mwanzilishi Wa Kundi La Abednego&Worshipperz Mwl Abednego Hango Amepata Mwaliko Wa Kihuduma Nchini Canada Ambapo Atakaa Huko Kwa Miezi Mitatu. Nimepiga Nae Story Hango Ameniambia “Nimekuja huku kwa mwaliko wa kanisa la Calvary Revival lililopa jijini Edmonton. Ntakuwa hapa kwa ajili ya huduma na kuandaa matamasha na workshops mbalimbali za praise and ...

Read More »

Angel Bernard Anakukaribisha wewe Mwanamke

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoNi heshima yangu kukukaribisha mwanamke au binti ulieko Arusha,Moshi,Manyara na kote. Katika siku maalum ya Wanawake wa Ufalme wa Mungu.   Ni tarehe 13/5 mwaka huu. Katika hotel ya NEW SAFARI ( clock tower karibu na CRDB Bank). Njoo tumsifu Mungu pamoja, tufurahi,tujifunze na kumwinulia sauti zetu kwa pamoja. Tutakuwa na changizo dogo LA ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free