Breaking News

Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuachia huru Sheikh Issa Ponda.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoHabari kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es salaam leo ambapo imeamuachia huru Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu, Sheikh Issa Ponda katika rufaa iliyokatwa na Jamuhuri kupinga Hukumu ya Mahakama ya Morogoro iliyomuachia huru Ponda. Sheikh Ponda ameachiwa huru mbele ya Jaji Johnson Mkasimongwa ambaye amesema anakubaliana na uamuzi wa Mahakama ya ...

Read More »

Responsive WordPress Theme Freetheme wordpress magazine responsive freetheme wordpress news responsive freeWORDPRESS PLUGIN PREMIUM FREEDownload theme free