Author Archives: admin

Raisi Magufuli Ameivunja Bodi Ya Shirika La NHC.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoTaarifa zilizopatikana asubuhi hii kutoka kwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ni kwamba Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation – NHC) Blandina Nyoni kuanzia leo. Pia Rais Magufuli ameivunja Bodi ya shirika hilo la NHC. Taarifa hiyo inaeleza kuwa uteuzi wa Mwenyekiti mpya na bodi nyingine ...

Read More »

Joe Praise Aachia Video Mpya Iitwayo ‘Everything Is Blessed’.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17SharesKutoka Nigeria, Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Joseph Omo Ebhodaghe Maarufu Kama Joe Praise Leo Ameachilia Video Yake Mpya Iitwayo ‘Everything Is Blessed’. Mwimbaji Huyo Amewahi Kushinda Tuzo Nyingi Mbalimbali Kama Love World Awards, Agma Awards, Sabc Crown Gospel Awards, Crystal Award Nigeria, Coson Award, Gospel Music Award Italy, Nigeria Gospel Music Award Na ...

Read More »

Njoki Munyi Kutoka Kenya Anakukaribisha Kutazama Video Yake Iitwayo “Huru”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako15SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Mwanadada Njoki Munyi Ameachia Video Yake Mpya Inayoitwa ‘Huru’. Njoki Ni Kati Ya Waimbaji Wanaokuja Kwa Kasi Katika Tasnia Ya Muziki Wa Injili Huko Kenya Na Anayefanya Vizuri. Karibu Kutazama Video Ya Wimbo Huo; Angel Benard Afunguka ‘Nilikataa Kuwa Mama Mchungaji”. Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari ...

Read More »

Huu ndio ufahari wa Aubameyang

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mchezaji wa Kimataifa kutoka Gabon anayekipiga Klabu Ya washika mtutu wa London Piere Aubameyang hivi karibuni amefanya matusi ya Show off. Ameita wapiga picha na kuonesha mizigo ya maana. Mchezaji huyu aliyetokea Borussia Dotmund kwa thamani ya Paundi milioni 56 ameonesha magari yake ya kibabe. Mshambuliaji huyu ameonesha ndinga za Maana ambazo zimetulia ...

Read More »

Ringtone Afanya Kolabo Na Ada. Waachia Video Iitwayo “This Year”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutokea Kenya Alex Apoko Maarufu Kama Ringtone Ameachia Video Ya Wimbo Wake Mpya Uitwao ‘This Year’ Akiwa Amemshirikisha Mwimbaji Maarufu Kutoka Nigeria Ada. Ameachia Video Hiyo Ikiwa Ni Baada Tu Ya Kufanya Vizuri Katika Video Yake Aliyoifanya Mwaka Jana Mwezi Septemba Akiwa Amemshirikisha Gloria Muliro. Pia Amewahi Kufanya Kolabo ...

Read More »

Album Ya Gospel Ya Snoop “Bible Of Love” Yaingia Sokoni, Awashirikisha Waimbaji Wa Gospel Zaidi Ya 20.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako35SharesBaada Ya Kuisubiri Kwa Muda Ile Album Mpya Kutoka Kwa Rapper Snoop Dogg Hatimaye Sasa Imetoka Na Tayari Imeshaingia Sokoni. ‘Bible Of Love’ ni albamu ya 34 kwa mkongwe huyo wa Hi Hop ambayo na ilitoka Machi 16 mwaka huu, huku ikiwa na jumla ya nyimbo 32 tofauti na vile tulivyotarajia na amewashirikisha wasanii ...

Read More »

Karibu Kutazama Video Mpya Kutoka Kwa Steven Sabugo Iitwayo “Inuka”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako3SharesMwimbaji Chipukizi Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kwenye Kiwanda Cha Nyimbo Za Injili Hapa Nyumbani Tanzania Steven Sabugo Aachia Video Yake Mpya Iitwayo ‘Inuka’. Video Hiyo Imefanywa Chini Ya Parrot Media Ikiongozwa Na Director Danniel Mangare. Karibu Utazame Video Hiyo. Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali ...

Read More »