Author Archives: admin

Serikali Yatoa Majibu kuhusu uhalali wa nembo ya taifa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde amelieleza bunge kuhusu tuhuma za baadhi ya wabunge kuhoji uhalali wa Serikali kutumia nembo ya taifa ambayo picha zilizopo haziakisi uhalisia wa mwanamke wa kitanzania. Mavunde amesema…>>>“Yamesemwa maneno kwamba nembo yetu haiakisi muonekano wa kitanzania kwamadai kwamba mwanamke aliyepo amevaa wigi, sio kweli kwamba haiakisi nah ...

Read More »

Sinach Ang’ara Tuzo Za Sterling Gospel Music Award.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako21SharesTuzo Ambazo Hutolewa Nchini Jamaica Ziitwazo The Sterling Gospel Music Awards Zikiwa Ni Msimu Wa 33, Zimefanyika April6 Na Mwimbaji Kutoka Nigeria Sinach Kuibuka Na Tuzo Ya Msanii Bora Wa Kimataifa. Wengine Walioibuka Na Tuzo Hizo Ni Pamoja Na Kimola Lowe Kama Msanii Bora Wa Kike Wa Mwaka Na Levy Heritage Kama Group Bora ...

Read More »

John Mtangoo – “Sijawahi Kuambiwa Nina Mimba Yako Halafu Nikaikataa”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14SharesMwanamuziki Wa Nyimbo Za Injili Ambae Pia Ni Producer Wa Nyimbo Za Injili John Mtangoo Afunguka Kuhusu Maisha Yake Huku Huku Akiwataka Vijana Kutathmini Mazingira Kwanza Kabla Ya Kufanya Chochote. Ameandika; “Kitu Nina Uhakika 100% Sijawahi Kuambiwa Nina Mimba Yako Halafu Nikaikataa Ama Kusitasita. Unajua Kwa Nini? Mimi Pia Nimelelewa Na Mama. Mpaka Leo ...

Read More »

Rose Shaboka Aongea Na Wanawake Walioandamana.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako20SharesMama Mchungaji Wa Kanisa La New Day Church  Lililopo Dar-Es-Salaam Ameandika Ujumbe Kwa Wanawake Na Wanaume Wenye Ndoa. Katika Ujumbe Wake Aliandika; “Huwezi Kuwa Mkristo Part Time Ukashinda Wakati Adui Unayepambana Nae Yuko Kazini Full Time Usiku Na Mchana Anatafuta Kukumaliza. Wewe Unabeep Wakati Adui Anayekutafuta Amemaanisha Kukumaliza. Leo Wa Moto Kesho Wa Baridi, ...

Read More »

Picha:Ilivyokuwa Event Ya The New Beginning (Mwanzo Mpya).

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako21SharesJumapili Ya Tarehe 8 April, Ilifanyika Ibada Kubwa Iliyopewa Jina La New Beginning Yaani Mwanzo Mpya Iliyofanyika Ndani Ya Ukumbi Wa King Solomon Pale Dar-es-Salaam. Ibada Hiyo Iliandaliwa Na Mwanadada Rose Maarufu Kama Muna Love Huku Ikihudhuriwa Na Waimbaji Wengi Kutoka Hapa Tanzania Akiwemo Joel Lwaga, Jessicah Honore Bm, Ambwene Mwasongwe, Upendo Nkone Na ...

Read More »

Watu 8 wa Familia moja wamefariki katika ajali wakiwahi mazishi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako19Shares Watu wanane wa familia moja wamefariki papo hapo baada ya gari dogo aina ya Noah waliyokuwa wakisafiria kutoka Chunya kwenda Jijini Mbeya, kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Igembesabo katika eneo la Igodima Mbeya. Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya, Mussa Tahib ni kwamba ajali ...

Read More »

Mchungaji Shaboka; “Thamani Yako Haiongezwi Na Kope Wala Nyusi, Wanja Wala Foundation….”

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMchungaji Nick Shaboka Wa Kanisa La New Day Church Lililopo Dar-es-Salaam Ameandika Ujumbe Kwa Mabinti Akiwataka Kujali Afya Zao Zaidi Kuliko Fashions Na Trends Wanazoziona Na Kuzikimbilia Kila Siku. Katika Mitandao Ya Kijamii Mchungaji Shaboka Ameandika; “Fashion na Trend’s zinapita lakini mwili wako unabaki. Mwili wako sio wa Fashion na Trend’s. Wala sio wa ...

Read More »