Author Archives: admin

Rev. Lucy Natasha Apokea Tuzo Ya Africa Prestigious Awards – Ghana.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako12SharesMuhubiri Wa Kimataifa Mwenye Nguvu Kutoka Kenya Rev. Lucy Natasha Apokea Tuzo Ya Africa Prestigious Awards (APA) 2017 Ya Heshima Nchini Ghana . Amepokea Tuzo Hiyo Kutokana NaKazi Kubwa Inayofanywa Na Natasha Hand of Compassion Team Nchini Kenya. Pia Alipata Nafasi Ya Kuhudumu Kabla Ya Utoaji Wa Tuzo Hizo. Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata ...

Read More »

Video; Pastor Creflo Dollar Amtetea Snoop Dogg.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMhubiri Wa Injili Wa Kimataifa Kutoka Marekani Creflo Dollar, Mwandishi Wa Televisheni Maarufu Na Mwanzilishi Wa Kanisa La World Changers Church International Huko Georgia, Alitetea Uamuzi Wa Snoop Dogg Wa Kuzalisha Albamu Ya Injili Na Kuwakemea Wakristo Ambao Walihoji Madai Ya Mwandishi Huyo Kuwa Ni Mkristo Wa Kuzaliwa Tena. Akihubiri Juu Ya “Roho Wa ...

Read More »

Tanzia; Mama Wa Rc Gambo Afariki Dunia.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amefiwa na mama yake mzazi usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya The Madras Medical Mission – Chennai nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho Rc Gambo Ameandika Katika Mitandao Ya Kijamii “Kwa masikitiko na uchungu mkubwa napenda kutangaza kifo Cha Mama yangu Mzazi ...

Read More »

Hii Ndio Video Mpya Kutoka Kwa Joyce Irungu “Urejesho”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako5SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Joyce Irungu Baada Ya Kimya Kirefu Sasa Arejea Na Video Ya Wimbo Wake Mpya Iitwayo Urejesho. Mwimbaji Huyo Ameachia Wimbo Huo Baada Ya Kukaa Kimya Kwa Muda Mrefu Bila Kuachia Wimbo Mpya.   Ziruhusu Mboni Mbili Za Macho Yako Kufurahia Upako Wa Video; Sambaza Upendo , Share ...

Read More »

Goodluck Gozbert Asema Haya Siku Ya Birthday Yake.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako21SharesJana Tarehe 12 April Ni Siku Ya Kumbukizi Ya Kuzaliwa Muimbaji Maarufu Wa Gospel Hapa Nyumbani Tanzania Goodluck Gozbert.Ikiwa Zimepita Siku Mbili  toka ufanyika uzinduzi rasmi wa taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam, Ambapo Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Goodluck Gozbert Alipata Nafasi ...

Read More »

Deni la MABILIONI lasababisha ATCL kufungiwa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Shirika la Ndege nchini ATCL limeondolewa katika mfumo wa malipo wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga IATA kutokana na kukabiliwa na madeni na sasa limetia saini makubaliano ya miaka mitano na Kampuni ya Ndege ya HAHN Air kuuza tiketi za Air Tanzania. Akizungumza na Waandishi wa habari visiwani Zanzibar, Mkurugenzi wa ATCL Ladislaus ...

Read More »

Haya ndio majina 28 ya Maafisa wa JWTZ waliopandishwa vyeo

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako6SharesRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli awapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika vyeo mbalimbali. Haya ni majina ya Maafisa wote waliopandishwa leo na Rais Magufuli; iunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On ...

Read More »