Author Archives: admin

Angel Bernard Atarajia Kutua Washington DC.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMshindi Wa Tuzo Ya Sauti Award Katika Kipengele Cha Mwimbaji Bora Wa Kike Afrika Mashariki, Magharibi Na Afrika Ya Kati Angel Benard Amepata Mwaliko Kuhudumu Katika Kanisa La Lutheran Church Of The Reformation Washington DC. Huduma Hiyo Ni Kwa Ajili Ya Kuombea Taifa La Marekani, Israel Pamoja Na Afrika Mashariki. #grace #focus A post ...

Read More »

Jeshi La Polisi Laanza Uchunguzi Wa Tukio La Mwandishi Wa Habari Kupigwa Na Polisi Uwanja Wa Taifa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoJeshi la polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam limeanza uchunguzi wa tukio la kupigwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio, Silas Mbise ambapo pia limemtaka mwandishi huyo aende kutoa taarifa katika kituo cha polisi ili uchunguzi uweze kufanyika. Taarifa hiyo imetolewa leo na Kamanda Maalumu wa Kanda ya Dar es ...

Read More »

Jengo Lenye Duka La Nakumatt Labomolewa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoShughuli ya ubomoaji wa majengo ambayo imekuwa ikiendelea Kenya kuondoa majumba yaliyojengwa katika maeneo yaliyotengewa barabara na yaliyo kwenye kingo za mito na chemchemi Ijumaa iliathiri jumba lenye moja ya maduka makuu ya Nakumatt, Ukay Mall. Ubomoaji wa jengo hilo umeanza mapema asubuhi. Ukay Centre ambayo wakati mwingine hufahamika kama Ukay Mall ni jumba ...

Read More »

Haya Ndiyo Majina Ya Washiriki Wa Tuzo Za Dove Awards.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako15SharesMsimu Wa Arobaini Na Tisa (49) Wa Tuzo Za Dove Awards Umekaribia. Tuzo Hizi Hutolewa Kwa Waimbaji Wa Gospel Marekani Kwa Ajili Ya Kuonyesha Heshima Na Kuwapongeza Kwa Kazi Wanayofanya. Mwaka Huu Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Tauren Wells Anaongoza Kwa Kuchaguliwa Kushiriki Tuzo Nyingi Ambapo Anashiriki Vipengele Saba, Huku Zach William Akishiriki Kwa ...

Read More »

Auawa Kwa Risasi Baada Ya Kuzuka Ugomvi Wa Kudaiana Elfu Thelathini.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMlinzi wa kampuni ya Lake Security huko Mwanza, ameuawa kwa kupigwa risasi tumboni na mlinzi mwenzake baada ya kuzuka ugomvi kati yao wa kudaiana Tsh. 30,000. Kamanda wa Polisi Ahmed Msangi, alimtaja aliyeuawa katika ugomvi huo wa Julai 6 kuwa ni Charles Pendo(24) mkazi wa Bukokwa na aliyefyatua risasi ni Octavian Wilson(35) mkazi wa ...

Read More »

Ujumbe Wa Angel Benard Kwa Mume Wake Baada Ya Kushinda Tuzo.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako24SharesMshindi Wa Tuzo Ya Sauti Award 2018 Na Maranatha Award 2018 Angel Benard Ameandika Ujumbe Na Kumpongeza Mume Wake Mchungaji Godsave Sakafu Baada Ya Kushinda Tuzo Ya Maranatha Award Kama Best Talent Nurturer. Angel Amempongeza Mume Wake Kwa Kumlea Yeye Pamoja Na Wengine Katika Utumishi Waliobeba. Pia Godsave Ndie Manager Anaesimamia Kazi Zote Za ...

Read More »

Makamu Wa Raisi Ahukumiwa Kutumikia Kifungo Jela.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako6SharesMakamu wa Rais Mstaafu wa Argentina, Amado Boudou ahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 5 na miezi 10 jela baada ya Mahakama kumkuta na hatia katika mashtaka ya rushwa. Bwana Boudou aliyekuwa madarakani kuanzia mwaka 2011 hadi 2015 pamoja na Rais Cristina Fernandez amezuiwa kushika nafasi yoyote ya kiuongozi katika ofisi za umma. Hukumu hiyo ...

Read More »

Godsave Sakafu Ashinda Tuzo Ya Maranatha Kenya.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako24SharesMchungaji Wa Kanisa La Victory Christian Center International (VCCI) Godsave Sakafu Ameshinda Tuzo Ya Maranatha Award Kutoka Kenya Katika Kipengele Cha Best Talent Nurture. Tuzo Hiyo Ameipata Kama Pongezi Kwa Kukuza Na Kulea Vipaji Huku Moja Ya Kipaji Alichokikuza Na Kukilea Ni Cha Mke Wake Angel Benard. Nje Ya Uchungaji Godsave Ni Mume Wa ...

Read More »