Author Archives: admin

Raia Wa Senegal Ateuliwa Kuwa Makamu Wa Rais Wa Benki Ya Dunia.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Makhtar Diop, raia wa Senegal ameteuliwa kuwa makamu wa rais wa Benki ya Dunia (WB) atakayekuwa anasimamia miundombinu. Diop alitangazwa kushika nafasi hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita na hivyo kumfanya kuwa miongoni mwa maofisa wa ngazi za juu wa taasisi hiyo muhimu duniani. Taarifa iliyotolewa na benki hiyo inasema Diop anayaanza majukumu hayo mapya baada ya ...

Read More »

Picha; Hivi Ndivyo Waimbaji Wa Nyimbo Za Injili Ndani Na Nje Ya Tanzania Walivyosherehekea Siku Ya Mama Duniani.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoJana May 13, Katika Kusherehekea Siku Ya Mama Duniani Waimbaji Mbalimbali Wa Nyimbo Za Injili Wameonyesha Heshima Zao Kwa Mama Katika Kusherehekea Siku Hiyo Na Kuandika Jumbe Mbalimbali Kuonyesha Shukurani Zao. I’m so excited to celebrate my beautiful Queen today for Mother’s Day, @drjackiegreene 💯!! There’s not enough words to describe how phenomenal, loving, ...

Read More »

Makanisa matatu Yashambuliwa Watu 11 Wamefariki.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Washambuliaji wa kujitoa mhanga wamevamia makanisa matatu tofauti nchini Indonesia,Leo May 13, 2018 katika mji wa pili kwa ukubwa Surabaya na kuua watu takribani 11. Watu wengine 40 wamejeruhiwa katika mashambulio hayo yaliyotokea kwa kupishana dakika moja kwa kila shambulio. Hakuna kundi lililojitokeza na kudai kuhusika na mashambulio hayo hadi sasa. Picha za ...

Read More »

Jukwaa La Viongozi Wa Kikristo La Kimataifa Lafanyika Korea Kusini Mjini Seoul

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoJukwaa la maaskofu na viongozi wa kisiasa na kijamii toka nchi 20 waliokutana Korea Kusini mjini Seoul tarehe 7/5/2018 mpk 10/5/2018 na kujadili mikakati ya kuitambua na kuitumia Biblia katika kubadili tabia na mitazamo hasi ya jamii ya karne ya 21. Askofu Sylvester Gamanywa alialikwa kama mgeni maalum na kutoa salamu kwenye jukwaa pamoja ...

Read More »

Anglikana Kuuza Makanisa Yake 78, Sababu Zatajwa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Kanisa la Kianglikana Tasmania lina mpango wa kuuza makanisa 78 kati ya makanisa yake 133 ili kusaidia kuwalipia walionyanyaswa kijinsi walipokuwa watoto. Waumini wa jimbo hilo kusini mwa Australia wamekasirishwa na hatua hiyo ya kuyapoteza makanisa hayo ambayo yana zaidi ya miaka 130, lakini manusura wamesema hatua hiyo ni ujumbe muhimu wa kupata ...

Read More »

Video; Guardian Angel Amekuletea Hii Tena – “Utafurahi”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako3SharesKutoka Kenya Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Ambae Anafanya Vizuri Afrika Mashariki Na Sehemu Nyingine Nyingi Guardian Angel Asimama Tena Peke Yake Na Kuachia Video Mpya Iitwayo “Utafurahi”. Video Hiyo Ameiachia Baada Ya Kolabo Aliyoifanya Na Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutokea Hapa Nyumbani Tanzania Paul Clement Iitwayo Wakati Wa Mungu. Video Hii Kwa Ajili ...

Read More »

Mwanasayansi Wa Australia Mwenye Miaka 104 Ajiua.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwanasayansi wa Australia mwenye umri wa miaka 104, David Goodall ametimiza azma yake ya kujiua katika kliniki moja nchini Uswisi leo. Awali, mtaalam huyo wa masuala ya mimea na ikolojia alikuwa analalama kuwa amechoka kuishi, hivyo hana sababu ya kuendea kuishi. “Maisha yangu yalikuwa kwenye kwenye kazi, sasa siwezi kwenye nje kufanya kazi,” CNN ...

Read More »

Usikubali Kurudi Ulipoumizwa – T.D.Jakes.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoBishop Wa Kanisa Kubwa Marekani Linalojulikana Kwa Jina La Potter’s House Na Ambaye Amekuwa Akishauri Kuhusu Ndoa T.D.Jakes Leo Ameandika Akiwataka Wanandoa Kuindokana Na Yale Yanayowaumiza Bila Kujali Au Kuangalia Gharama Watakazokutana Nazo. Ameandika; “Inasemekana Kuwa Mwishoni Mwa Maisha Yetu “Mambo Matatu Tu Ni Ya Maana: Ni Kiasi Gani Ulipenda, Jinsi Ulivyoishi Kwa Upole, Na Jinsi ...

Read More »