Author Archives: admin

Samuel Limbu Amekuletea “Umenitendea”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako16SharesBaada Ya Kufanya Vizuri Na Video Yake Ya Mungu Wa Nchi Yetu Kwa Mara Nyingine Tena Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutokea Dar Es Salaam Ambae Amekua Akifanya Huduma Na Kwaya Ya Neema Kwaya Samuel Limbu Sasa Arejea Na Video Nyingine Iitwayo ‘Umenitendea’. Wimbo Huo Ni Wimbo Uliojaa Maneno Ya Shukurani Na Kuelezea Ukuu ...

Read More »

Mhubiri Auawa Na Mamba Alipokuwa Akibatiza Waumini.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17SharesMhubiri Mmoja Wa Injili Wa Kanisa La Kiprotestanti Nchini Ethiopia Anaejulikana Kama Pasta Docho Eshete Ameuawa Na Mamba Alipokuwa Akiwabatiza Waumini Wa Dhehebu Lake. Pasta Docho Eshete Alikutwa Na Shambulio Hilo Akiwa Amembatiza Muumini Mmoja Kabla Ya Kushambuliwa Na Mamba Huyo Katika Ziwa Arba Minch. Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila ...

Read More »

Pokea Brand New Audio Kutoka Kwa Ajoki Mwakatebe – “Tangulia Bwana”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako2SharesMwimbaji Chipukizi Wa Muziki Wa Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Ajoki Mwakatebe Mwenye Makazi Yake Jijini Dar Es Salaam Ameachia Wimbo Wake  Mpya Unaoitwa Tangulia Bwana Audio Produced By MUSA SHEKINA STUDIO Ukimuhitaji Kwa aajili Ya Mialiko ya Kihuduma Kama Vile Mikesha,mikutano,semina Nk anapatikana kwa namba hii Ya 0718-894539  Furahia Upako Wa Muziki Hapa ...

Read More »

Shemeji Melayeki; ” Yesu Angekuwepo Leo Duniani Bado Angepanda Punda Tena…”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoIkiwa Swala La Muhubiri Aliyeomba Kununuliwa Ndege Na Washirika Wake Likiendelea Kushika Kasi Apostle Shemeji Melayeki Ambae Ni Mchungaji Wa Kanisa La Global Family Gathering Ministry, Mwandishi Wa Vitabu Na Pia Ni Mwanzilishi Wa Change Mind Change Lives Na City Reading Champions Nae Aamua Kufunguka Huku Akidai Yesu Angekuwepo Bado Angepanda Punda. Katika Ukurasa ...

Read More »

Mlinda amani wa Umoja wa Taifa kutoka Tanzania ameuawa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako19Shares Taarifa kutoka kwa msemaji wa Umoja wa Mataifa leo June 5, 2018 inasema Mwanajeshi mmoja wa kulinda amani kutoka Tanzania ameuawa, katika shambulio lililotokea Jamhuri ya Afrika ya Kati na walinda amani wengine 7 wamejeruhiwa. Shambulio hilo limetekelezwa dhidi ya kikosi hicho cha Umoja wa Mataifa wakati kikiwa kwenye doria katika Kijiji cha ...

Read More »

Emmanuel Makwaya Afungukia Swala La Ndege, Ampinga Mhubiri Jesse Duplantis.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoBaada Ya Sakata La Ndege Kuibuka Kutokana Na Kitendo Cha Muhubiri Wa Kimataifa Jesse Duplantis Kuwataka Washirika Wake Kumnunulia Ndege Na Waalimu Wengi Na Watumishi Wa Mungu Kufunguka, Hatimaye Mwalimu Na Mwandishi Wa Vitabu Emmanuel Makwaya Naye Aamua Kutoa Mawazo Yake Huku Akidai Kuwa Kama Yesu Angekuwepo Asingemiliki Ndege. Soma Zaidi;http://johnpazia.com/2018/05/31/mhubiri-awaomba-waumini-wamnunulie-ndege-marekani-asema-yesu-angekuwepo-siku-hizi-asingetumia-punda/ Amefunguka Hayo Katika ...

Read More »

Kundi La Zion Voice Waachia Video Mpya – “Chini Ya Mbawa Zako”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako20SharesKundi La Muziki Wa Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania “The Zion Voice” Wameachia Video Mpya Iitwayo ‘Chini Ya Mbawa Zako’. Wimbo Huo Uliimbwa Mwaka 2011 Na Kundi La Joyous Celebration Ukiongozwa Na Mwanadada Ntokozo Mbambo. Wakiachia Wimbo Huo Kundi Hilo Wamesema; “Ingawa tunapita katika changamoto mbalimbali za maisha ila Mungu bado yupo pamoja nasi ...

Read More »

Simba SC waing’arisha Tanzania nchini Kenya, watinga nusu fainali michuano ya SportPesa Super Cup

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14SharesKlabu ya Simba SC imefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kwa kuichabanga goli 3-2 klabu ya Kariobangi Sharks FC kwa njia ya changamoto ya mikwaju ya penati baada ya timu hizo kutoka 0-0 ndani ya dakika 90 . Simba SC inakuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufuzu kwenye michuano hiyo hii ...

Read More »