Author Archives: admin

Waziri Mwijage kazindua mafuta yanayopunguza uchafuzi wa mazingira

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako12SharesWaziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage ameipongeza kampuni ya mafuta ya Total kwa kuwa mstari wa mbele kwenye kuhakikisha kuwa watanzania wanapata mafuta bora ya vyombo vya moto. Mwijage amezungumza jijini DSM kwenye uzinduzi wa mafuta ya vyombo vya moto aina ya Total Excellium kutoka kampuni hiyo. Mafuta hayo yaliyotengenezwa kwa teknolojia ya ...

Read More »

Mchezaji kulipwa 150,000 kila mechi Ndondo Cup

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Emanuel Memba (kulia) wa Kauzu FC akiwania mpira na beki wa Friends Rangers Mgaya Juma wa Friends Rangers wakati wa mchezo wa nusu fainali ya Ndondo Cup Mabibo Market kupitia kwa kiongozi wake imeweka wazi kiasi ambacho atalipwa kila mchezaji kwa kila mechi atakayocheza kwenye mashindano ya Ndondo Cup msimu huu. Naomi Kibago ...

Read More »

Joel Lwaga atangaza Msamaha Huu “Baba Wasamehe Hawajui Walitendalo”

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako27Shares Baada Ya wiki Kadhaa Account Ya Instagram Ya Muimbaji Wa Gospel Tanzania Joel Lwaga Kudukuliwa Na watu wasio julikanaHatimaye account hiyo imerejea tena katika mtandao huo Wa Instagram. Kupitia Account hiyo Joel Lwaga Amewathibitishia rasmi mashabiki wake kurejea kwa account hiyo Kwa kuandika haya;   Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kuwezesha Account yangu ...

Read More »

Rais Magufuli atoa maagizo kufuatia ajali ya vifo vya watu 10 Kigoma

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kufuatia vifo vya watu 10 baada ya basi walilokuwa wanasafiria kugonga Treni ya mizigo Mkoani Kigoma huku akitoa maagizo kwa wadau wa usalama kuwachukulia hatua madhubuti kuzuia ajali hizo. Soma taarifa kamili: Sambaza Upendo , Share na ...

Read More »

TOP 10: List ya wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi 2017/18

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Jarid la Forbes ambalo limekuwa na utamaduni wa kuandika habari zenye utafiti kutokana na uchunguzi wao, leo limetaja list ya wanamichezo wanaoongoza kulipwa pesa nyingi kwa mwaka. Bondia Floyd Mayweather Jr (Kushoto) na Conor McGregor List hii iliyotolewa na Forbes ni kuanzia June 2017 hadi June 2018 ambapo bondia Floyd Mayweather ndio ameongoza ...

Read More »

Ipyana Kibona; “Waimbaji Wa Secular Na Amini Amini Nakwambia Wanaweza Wakatuzidi….”

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Doctor Ipyana Kibona Kutoka Dar-Es-Salaam Leo Ameandika Ujumbe Akiwaasa Waimbaji Wenzake Kuachana Na Ushabiki Na Kuwa Waabudu Halisi. Dr. Ipyana Amesema; “Nyimbo Zetu Kama Waimbaji Wa Habari Njema – Injili Ambayo Inasabisha Ibada Zikikosa Uvuvio Wa Roho Mt. Hatuna Tofauti Na Waimbaji Wa Secular Na Amini Amini Nakwambia Wanaweza ...

Read More »

Serikali Yaamuru KKKT Kuufuta Waraka. Yatishia Kulifuta “Baraza la Maaskofu Wa KKKT” Na Kuwashitaki.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako24SharesSerikali Ya Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania Yaliamuru Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania (KKKT) Kuufuta Waraka Uliotolewa Na Baraza La Maaskofu Kipindi Cha Pasaka Na Huku Serikali Ikitishia Kulifuta Baraza Hilo.   Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila ...

Read More »

Mambo Yanayofanya Utukufu Wa Mungu Uondoke Katika Harusi Za Wapendwa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17SharesMchungaji Wa Kanisa La TAG Dar-es-Salaam Tumaini Chanjarika Ameandika Ujumbe Akizungumzia Mambo Saba Yanayofanya Utukufu Wa Mungu Uondoke Katika Harusi Za Wapendwa. Ameandika; *Kama Wahusika (Waliofunga Ndoa) Walitafunana/Walionjana Kabla Ya Kufunga Ndoa. Vijana Wengi Leo Hawana Uwezo Wa Kusema No Kwa Dhambi, Hasa Pale Anapoambiwa Na Mchumba Wake Anayempenda Kwamba Waonjane Kidogo Tu Kabla ...

Read More »

Brand New Video Kutoka Kwa Machalii Wa Yesu – “Yesu Anakupenda”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako55SharesKundi La Gospel Hip Hop Kutoka Arusha Machalii Wa Yesu Wameachia Video Yao Mpya Iitwayo ‘Yesu Anakupenda’. Kundi Hilo Ni Moja Kati Ya Kundi Linalofanya Vizuri Katika Tasnia Ya Muziki Wa Injili. Kundi Hilo Limeundwa Na Wana Gospel Hip-Hop Akiwemo Apostle Shemeji Melayeki, Shadrack Robert, Douglas Kyungai, Novic, Mnene Makweta, T-More Pamoja Na Sniper. ...

Read More »