Author Archives: admin

Utafiti: Matumizi mabaya ya vitambaa vya jikoni ni hatari kwa afya

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako4SharesMatumizi mbalimbali ya vitaulo vya jikoni huweza kusababisha vijidudu vya sumu kwenye chakula, utafiti umeeleza. Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Mauritius walichunguza vitambaa 100 vya jikoni vilivyokuwa vikitumika kwa kipindi cha mwezi mmoja Waligundua kuwa bakteria aina ya E.coli anaweza kupatikana kwenye vitambaa ambavyo vimetumiwa kwa kazi zaidi ya moja jikoni, kama vile, kufutia ...

Read More »

“Asante” – Video Mpya Kutoka Kwa Janet Otieno.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako26SharesMwimabji Mkubwa Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Ambae Amekua Kati Ya Wanamuziki Wakubwa Wanaofanya Vizuri Afrika Mashariki Janet Otieno Ameachia Video Yake Mpya Iitwayo ‘Asante’. Akiachia Video Hiyo Katika Mitandao Ya Kijamii Aliandika “Madhaifu yangu mapungufu yangu,kiburi changu,umenipendea nini Baba…. ASANTE is officially out family!! This is a song that is close to ...

Read More »

Mtoto Afariki Akiombewa Na Mchungaji.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako22Shares Mtoto ambaye alikuwa ni mgonjwa amefariki baada ya wazazi wake kumpeleka kuombewa na Mchungaji wa kanisa la ‘Kanitha Ya Ngai’ ambaye haruhusu waumini wake kutumia tiba za kisasa. Wazazi hao kwa sasa wamekamatwa na Polisi katika kijiji cha Kinungi kaunti ya Nakuru nchini Kenya huku Mchungaji huyo akitokomea kusikojulikana. Katika eneo la Kinungi ...

Read More »

Serikali Yadai Waraka Ulioandikwa Kwa KKKT Ni Batili, Msajili Wa Vyama Wizarani Asimamishwa Kazi.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako10SharesWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema Waraka wa barua unaodaiwa kuandikwa na Serikali dhidi ya Makanisa unaosambaa mitandaoni si wa kweli na kwamba ni uhalifu umefanywa na watu wasioitakia nchi mema. Waziri Nchemba amesema Serikali haipingani na dhehebu lolote na pale ambapo kuna uhitaji wa kufanyia kazi jambo kuhusu taasisi ...

Read More »

KKKT Waijibu Barua Ya Serikali, Waomba Kuongezewa Siku 30….

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14SharesMnamo tarehe 7/06/2018, Wabunge wa CHADEMA/UKAWA wakiongozwa na Mbunge wa Vunjo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi na Waziri Kivuli wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilisno, Mh. James Mbatia, waliitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari, jijini Dodoma na kulitaka Kanisa la KKKT, kutoijibu Barua kutoka kwa Msajili wa Vyama, Wizara ya Mambo ya Ndani, iliyowataka pamoja na mambo mengine, kufuata Masharti ...

Read More »

Chris Shalom Alieimba Wimbo Wa ‘My Beautifier’ Atua Tanzania.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako70SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Nigeria Alievuma Na Nyimbo Zake Kama My Beautifier Pamoja Na Your The Reason, Chris Shalom Ametua Tanzania Asubuhi Ya Leo. Mwimbaji Huyo Amekuja Tanzania Kwa Ajili Ya Event Kubwa Ijulikanayo Kama Daughter Of Zion  Itakayofanyika Siku Ya Kesho Katika Kanisa La St. Peter Oysterbay . Mwimbaji Huyo Atahudumu ...

Read More »

Barcelona yamrudisha Abidal Camp Nou

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako13Shares ALIYEKUWA mchezaji wa zamani wa Barcelona Eric Abidal, anatarajia kuchukua nafasi ya kuwa mkurugenzi wa michezo katika klabu ya Barcelona kwa msimu wa 2018-19. Klabu hiyo imethibitisha kwamba, Abidal atachukua nafasi ya Robert Fernandez ambaye alikuwa akiitumikia nafasi hiyo. Mkataba wa Robert upo mbioni kumalizika mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, na Barcelona ...

Read More »

Upinzani Wawataka KKKT, Kanisa Katoliki Kutojibu Barua Ya Msajili

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako10Shares Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni, wamewataka viongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania  (KKKT) na Kanisa Katoliki, kutoijibu serikali kuhusu barua waliyopewa na Msajili wa Vyama ya kukanusha waraka wao. Akizugumza na waandishi wa habari kwa niaba ya kambi hiyo leo jijini Dodoma, Mbunge wa Vunjo, James Mbatia amesema mamlaka za ...

Read More »