Author Archives: admin

Huu Ndio Ujumbe Kutoka Kwa Chris Mauki Kwa Kila Binti Ambae Bado Hajaolewa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako58SharesMwalimu Katika Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam Na Mtaalamu Wa Saikolojia Ya Kijamii, Mahusiano, Na Ushauri Chris Mauki Atoa Ushauri Kwa Kila Binti Ambae Bado Hajaolewa. Ameandika; 1. Wanaume wengi (sijasema wote) hupenda kuoa mwanamke anayeweza kujitegemea, mwanamke anayejituma na sio binti mvivu na mwenye tabia za kitoto. Kwahiyo badala ya kukaa tu ...

Read More »

Pastor Masanja Mkandamizaji akiri kuongoza kwa utajiri.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mtaani kulikuwa na mjadala kuhusu utajiri wa wasanii hapa nchini, jina la msanii na mwigizaji, ambaye kwa sasa ni Mchungaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ likatajwa kuwafunika wasanii wenzake, msanii huyo amekiri kuwa yeye ni tajiri na anaongoza kwa kuwa na huo utajiri.   ‘’Kwa sababu ni jambo jema , unajua mtu akikwambia kuwa ...

Read More »

Hawa ndio walioimba katika Band Ya New Life Band ikitimiza Miaka 40 Ya Huduma Yao

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako19Shares  Band Ya Kwanza Ya Muziki Wa Injili Tanzania New Life Band Kutoka Arusha Mwaka huu Wa 2018 Imetimiza Miaka 40 Toka Kuanzishwa Kwake mwaka 1978 ,Band Hii Imejipatia Umaarufu Mkubwa sana hapa Nyumbani Tanzania Na Hata Nje Ya Nchi Kupitia Huduma Yao Ya Uimbaji ambapo wamehuduma katika Nchi mbalimbali kama Vile Kenya,Uganda,Canada,Norway,Marekani N.k. ...

Read More »

Masanja Mkandamizaji Aandika Ujumbe Huu Baada Ya Kanye West Kujiita Mungu.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMtumishi Wa Mungu, Mwimbaji, Mchungaji Ambaye Pia Ni Mchekeshaji Maarufu Hapa Nyumbani Tanzania Emmanuel Mgaya Maarufu Kama Masanja Mkandamizaji Leo Katika Mtandao Wa Kijamii Twitter Amechukizwa Na Kitendo Cha Rapper Kutoka Marekani Kanye West Kujiita Mungu. Katika Mtandao Wa Twitter Kanye West Aliandika “We are Gods.” Baada Ya Kuona Maneno Hayo Mchungaji Emmanuel Alichukizwa ...

Read More »

Afisa Uhamiaji Awataka Viongozi Wa Madhehebu Ya Kikristo Kuacha Tabia Ya Kualika Wahubiri Kutoka Nje Ya Nchi.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako31SharesAfisa uhamiaji katika jijini la Dodoma Edwin Mwasota amewataka wachungaji na viongozi mbalimbali wa madhehebu ya Kikristo mkoani Dodoma kuacha tabia ya kualika wachungaji kutoka nje ya Tanzania na kufanya mahubiri katika jiji hilo bila kibali Maalum. Bwana Edwin ameyasema hayo  Septemba 5 katika moja ya Ziara ya mkuu wa wilaya ya Dodoma mjini ...

Read More »

Unakumbuka Video Za Watoto za Sungura Mjanja?Sasa Huyu Ndiye Aliyeigiza Kama Sungura Mjanja

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako45Shares Filamu za sungura mjanja zilikuwa na mafunzo mazuri kuhusu watoto kumpenda Mungu na Kuwa Na Maadili na ziliwavutia watu wengi hasa watoto kuzitazama,filamu hizi zilikuwa zinaandaliwa na kituo cha Habari Maalum Media Arusha Ngaramtoni . Wilfred Daniel Mollel ndie mtu aliyevaa uhusika wa sungura mjanja Live On Live hebu msikilize hapa chini. Jiunge ...

Read More »