Author Archives: admin

Rais Magufuli Amtakia Heri Ya Siku Ya Kuzaliwa Nabii TB Joshua.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako28Shares Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. John Magufuli amemtumia salamu za heri ya siku ya kuzaliwa, mchungaji maarufu wa Nigeria, TB Joshua, aliyefikisha miaka 55. Kupitia ukurasa wake wa TwitterRais Magufuli amesema “Kwa niaba ya familia yangu, ninatuma salamu zangu za dhati katika siku yako ya kuzaliwa unapotimiza miaka 55. Mungu aendeelee kukupa uongozi mkubwa ili uweze ...

Read More »

‘Mimi Na Wewe Tuongee’ Waweka Tabasamu Kwa Watoto Wa Mtaani Arusha.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako45SharesKatika Kuelekea Siku Ya Mtoto Wa Afrika Tarehe 16 June Programme Ya Mimi Na Wewe Tuongee Waliandaa Event Kubwa Iliyoitwa Nilipo Kunasababu Charity. Event Hii Ilihusisha Vijana Chini Ya Miaka 18 Wanaolala Katika Mazingira Ya Mjini Yaani Watoto Wa Mtaani. Watoto Hao Walipata Nafasi Ya Kuonyesha Vipaji Vyao, Kula Chakula Kwa Pamoja, Kueleza Maisha Na ...

Read More »

Angel Benard Atangaza Ujio Mpya Hivi Karibuni.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako27SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Ambae Pia Ni Mama Mchungaji Wa Kanisa La Victory Christian center international (VCCI) Angel Benard Ametangaza Kuachia Wimbo Wake Mpya Hivi Karibuni.   Katika Instagram Yake Aliandika; MIGHTY TO SAVE – My Next Release. Not by might nor by power but by The Spirit of God. Need your prayers. ...

Read More »

Gari Ya Mke Wa Travis Greene Yaibiwa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako11SharesMke Wa Mwimbaji Mkubwa Kutoka Marekani Ambae Pia Ni Mchungaji Msaidizi Wa Kanisa La Forwad City Church Lililopo Columbia South Carolina Jackie Greene Ameibiwa Gari Yake Ijumaa Iliyopita Alipokuwa Ameenda Katika Huduma Atlanta Katika Semina Iliyopewa Jina La Pinky Promise Conference.   Travis Greene Amethibitisha Kuibiwa Kwa Gari Hilo Huku Akimshukuru Mungu Kwa Kuwa Mke ...

Read More »

Picha 16 Za Mkutano Wa Kihistoria Kati Ya Donald Trump Na Kim Jong Un.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMkutano wa kihistoria kati ya Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un umefanyika nchini Singapore. Mkutano huo ulianza kwa viongozi hao wawili kusalimiana kwa tabasamu na kisha kuelekea ukumbi wa maktaba ya Cappela Hotel kwa ajili ya sehemu ya kwanza ya mkutano wa ana kwa ana baina yao wakiwa na wakalimani wao, ...

Read More »

Alichoandika Mchungaji Zakayo Nzogere Baada Ya Kukutana Kwa Mara Ya Kwanza Trump na Kim Jong Un. Asema Inasikitisha…….

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako10SharesBaada Ya Raisi Wa Marekani Donald Trump Kukutana Na Raisi Wa Korea Kaskazini Kim Jong Un, Mchungaji Zakayo Nzogere Wa Kanisa La MICC Mwanza Afunguka Jambo Lililomfurahisha, Kumshangaza Na Hata Kumuumiza Baada Ya Tukio Hilo. Ameandika; “INAFURAHISHA…. INASHANGAZA…. INAUMIZA…. * INAFURAHISHA – Kuona mahasimu wakubwa wa kisiasa wakiweka tofauti zao pembeni ili kujenga jambo ...

Read More »

Waimbaji Sita Wa Gospel Kutoka Tanzania Kuwania Tuzo Za Sauti Awards.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako35SharesSauti Awards Ni Tuzo Za Heshima Ambazo Hutolewa Kwa Wasanii Wa Afrika Kuheshimu Kazi Ambazo Wanazifanya. Mwaka Huu Tanzania Imepiga Hatua Na Kutoa Waimbaji Sita Kutajwa Kuwania Tuzo Katika Vipengele Tofauti. Waimbaji Hao Ni Paul Clement, Joel Lwaga, Goodluck Gozbert, Angel Bernard, Miriam Mauki Na Christina Shusho. Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari ...

Read More »

Amri Kumi Za Uchumba Hadi Ndoa Kutoka Kwa Mchungaji Zakayo Nzogere.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako49SharesAkiwa katika Kipindi Cha Kusherehekea Miaka 18 Ya Ndoa Yake Mchungaji Zakayo Nzogere Wa Kanisa La MICC Mwanza Ameandika Mambo Kumi Au Amri Kumi Kijana Anazotakiwa Kusimamia Kuanzia Uchumba Hadi Ndoa. Ameandika; “1. Hakikisha mahusiano yako na MUNGU hayaharibiwi. Mungu hawezi kukupa mtu atakayekutoa katika uwepo wake. Mpenzi sahihi ATAKUSOGEZA karibu zaidi na MUNGU. ...

Read More »