Author Archives: admin

Mwimbaji Wa Kundi La Christ Ambassador Atarajia Kufunga Ndoa Hivi Karibuni.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako38SharesMwimbaji Wa Kundi Kubwa La Muziki Wa Injili Kutoka Kigali Rwanda Lijulikanalo Kama Ambassadors Of Christ, Sarah Uwera Sanyu Atarajia Kufunga Ndoa Yake July Mwaka Huu. Mwimbaji Huyo Ameweka Wazi Mahusiano Yake Ya Uchumba Na Aime Kayumba Ambae Ikumbukwe Si Mwimbaji Katika Kundi Hilo. Kundi Hilo Liliwahi Kuja Tanzania Tarehe 6.5.2011 Na Kuacha Historia ...

Read More »

Wanawake Wawili Wakabana Koo Wakigombea Kukaa Karibu Na Mchungaji.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako98SharesWanawake wawili nchini Kenya wamewashangaza wengi baada ya kuzozana na kukabana koo kanisani mbele ya Waumini wenzao wakigombania kukaa karibu na Mchungaji wa Kanisa hilo. Inaelezwa kuwa mwanamke mmoja ambaye alifika kanisani akiwa amechelewa aligundua kuwa Mwanamke mwingine alikuwa ameketi katika kiti alichozoea kukaa ambacho kipo karibu na Mchungaji wa Kanisa lao. Taarifa zinasema ...

Read More »

Jj Hairston Aeleza Sababu Ya Kurudiana Na Mke Wake.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako19SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Na Mshindi Wa Tuzo Sita Za Stellar Awards Kwa Mwaka Huu Jj Hairston Ambae Pia Ni Kiongozi Wa Kundi Kubwa Linalofanya Vizuri Youthful Praise Ameeleza Namna Alivyorudiana Na Mke Wake Baada Ya Kutengana Kwa Muda. Akieleza Sababu Hiyo Aweka Wazi Kuwa Mtoto Wao Wa Kwanza Aitwaye Janay ...

Read More »

Joel Lwaga Kufanya Kolabo Na Chris Shalom.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoWaimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Wamekuwa Wakitoka Sana Sasa Na Kufanya Kazi Na Waimbaji Wengine Kutoka Nje Ya Tanzania. Kwa Mara Nyingine Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Joel Lwaga Ameweka Video Akiwa Studio Na Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Nigeria Chris Shalom. Guess what!ūüí• kwa ...

Read More »

Joshua Mlelwa Ahoji Kuimba Live, Auliza ‘Kwani Mungu anakaa kwenye playbacks au live..??!’

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako24SharesMwimbaji Mkongwe Wa Nyimbo Za Injili Joshua Mlelwa Leo Ahoji Kuhusu Kuimba Live Au Kuimba Na Playbacks. Katika Ukurasa Wake Wa Facebook Ameandika; Jiunge nasi kupitia¬†Facebook, Twitter , Instagram¬†Na¬†Youtube¬†‚Äújohnpazia‚ÄĚili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku. Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako24Shares

Read More »

Harusi Ya Mtoto Wa Mchungaji Pius Muiru Yaacha Historia.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoJumamosi Ya Tarehe 9 June Mtoto Wa Mchungaji Pius Muiru Aitwaye Andrew Ambaye Pia Ni Mchungaji Amefunga Ndoa Na Mchumba Wake Wa Muda Mrefu Edna Wairimu. Harusi Hiyo Ilifanyika Citam Karen  Na Sherehe Kufanyika Katika Ukumbi Wa New Rain hotel Nairobi. Mchungaji Huyo Ameacha Historia Baada Ya Harusi Zote Za Watoto Wake Kuwa Za Gharama ...

Read More »

Aina Ya Watu Ambao Ni Hatari Kwa Maendeleo Yako.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako1ShareMwandishi Wa Vitabu Na Muhamasishaji Joel Nanauka Leo Amefunguka Na Amezungumzia Aina Ya Watu Ambao Ni Hatari Sana Kwa Maendeleo Ya Mtu. Ameandika; Kuna aina mbili za watu ni hatari sana kwa maendeleo yako katika kutimiza yale uliyokusudia,usipokuwa makini na watu wa aina hii unaweza kujikuta juhudi zako haziendani na matokeo unayoyapata,Leo jihadhari nao ...

Read More »

Jekalyn Carr Kwenda South Afrika. Kuna Nini??

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako15SharesUkiongelea Waimbaji Wenye Umri Mdogo Na Wanaofanya Vizuri Marekani Hutaacha Kumtaja Jekalyn Carr. Mwimbaji Huyo Anatarajiwa Kutua South Afrika Hivi Karibuni Kwa Ajili Ya Conference Kubwa Ya Vijana Itakayofanyika Jumamosi Ya Tarehe 16 June, Iliyoandaliwa Na Nabii Mkubwa Afrika Kusini Shepherd Bushiri Aliyezoeleka Zaidi Kama Major One. Mwimbaji Huyo Amethibitisha Hilo Katika Mitandao Ya ...

Read More »

Nyumba Ya Mchungaji Yavamiwa, Mmoja Afariki.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako16SharesNyumba Ya Mchungaji Justine Muro Wa Kanisa La TAG Morogoro Yavamiwa.   Nyumba Hiyo Iliyopo Mtaa Wa Airport Katika Manispaa Ya Morogoro Imevamiwa Na Watu Wasiojulikana Na Wanadaiwa Kumuua Kwa Kumnyonga Mfanyakazi Wa Ndani Aliyefahamika Kwa Jina La Habiba Rashid. Pia Watu Hao Wasiojulikana Walifanikiwa Kuiba Redio Pamoja Na Deki. Source: ITV Jiunge nasi ...

Read More »

Daddy Owen Atangaza Kuachia Kazi Mpya.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Kenya Daddy Owen Atangaza Kuachia Wimbo Mpya Siku Za Hivi Karibuni. Mwimbaji Huyo Ameyasema Hayo Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Kwa Kuandika; When u see me with the choir just know something massive… inspirational… real Gospel is about to drop! #RealGospelMusic A post shared by Daddy Owen (@daddyowen) ...

Read More »