Author Archives: admin

James Fortune Afunga Ndoa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako26SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Na Producer James Fortune Afunga Ndoa. Baada Ya Kuweka Siri Kwa Muda Mrefu Hatimaye Mwimbaji Huyo Afanya Surprise Kwa Watu Wote Na Shabiki Zake Kwa Kumuoa Mwanadada Aliyemtambulisha Instagram Kwa Jina La @misskellyz. Mr & Mrs Fortune 🖤 A post shared by James Fortune (@mrjamesfortune) on Jul ...

Read More »

Ujumbe huu wamkera Manara ‘Kusajili mchezaji kutoka Yanga kwa sasa ni sawa na kula mali ya yatima’

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Afisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amewataka mashabiki wa timu hiyo kuacha kuandika maneno ya dhihaka dhidi ya watani wao wa jadi Yanga na badala yake watumie muda huu kuwasaidia kisaikolojia kutokana na wakati mgumu wa ukata wanao pitia. Manara ameyaeleza hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram huku akiposti ...

Read More »

Ni muda wa Neymar kumfuata Perez apate makombe au kubaki na El Khelaifi ale pesa

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17Shares Majina 10 ya nyota watakaochuana katika tuzo za mchezaji bora wa Fifa yametoka, lakini habari kubwa ni kutokuwepo kwa mshambuliaji wa Brazil na PSG Neymar katoka orodha hiyo. Watu wengi wameshangazwa na jambo hilo japo ukiiangalia orodha yenyewe unaweza kubaki kujiuliza Neymar alitakiwa amuondoe nani katika orodha hiyo ili akae yeye? Raphael Varane ...

Read More »

‘Rais Magufuli ameamua fedha za Sherehe za Mashujaa zijenge barabara’

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako22Shares Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema kuwa fedha ambazo zingetumika kwa ajili ya sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya siku ya Mashujaa kitaifa, zimetumika kuboresha Miundombinu ya barabara 2 za Jiji la Dodoma. Waziri Mkuu ametangaza uamuzi huo akiwa anahitimisha zoezi la kufanya usafi aliloliongoza yeye akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ally ...

Read More »

Baada Ya Ibada Ya AWE, Joel Lwaga Amuandikia Paul Clement Ujumbe.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako42SharesBaada Ya Ibada Kubwa Kufanyika Jana Pale Sinza Mori Iliyoandaliwa Na Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Paul Clement, Iliyopewa Jina La Amani Worship Experience Waimbaji Wengi Wafunguka Mitandaoni. Tofauti Na Waimbaji Wengine Waliompongeza Na Kusema Maneno Mbalimbali, Joel Lwaga Afunguka Na Kuandika Ujumbe Wa Wazi Kwa Paul. Katika Ujumbe Huo ...

Read More »

Video; Mapokezi Ya Travis Greene Alipotua Nigeria.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako17SharesMshindi Wa Tuzo Saba Za Stella Awards Mwaka 2017 Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Travis Greene Tayari Ametua Nigeria. Mwimbaji Huyo Amealikwa Katika Event Kubwa Inayofanyika Kila Mwaka Iitwayo Fearless Ambayo Huandaliwa Na Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Nigeria Timothy Godfrey Maarufu Kama Tim Godfrey. Event Hiyo Itafanyika Tarehe 25 July ...

Read More »

Nabii Uebert Angel Atoa Zawadi Ya Gari Kanisani.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako16SharesNabii, Mchungaji Na Kiongozi Wa Kanisa La Good News Church Uebert Angel Ametoa Zawadi Ya Gari Aina Ya MERCEDES R Class Leo Katika Ibada Kwa Mshirika Wake. Mshirika Huyo Aliyejulikana Kwa Jina La Washington Amekabidhiwa Funguo Ya Gari Hilo Zikiwa Katika Bahasha. Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Alipoweka Picha Akitoa Funguo Hizo Nabii Aliambatanisha ...

Read More »

Video; Hivi Ndivyo Debora Lukalu Na Mume Wake Walivyoipendezesha Harusi Yao.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako30SharesJana Ni Moja Ya Siku Ambayo Historia Ya Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Debora Lukalu Ilibadilika Na Kufunga Pingu Za Maisha Na Mume Wake Mr. Kaseba. Video Mbalimbali Zimesambaa Na Kumuonyesha Mwimbaji Hyuo Akiwa Anacheza Mziki Katika Harusi Yake Hiyo Lakini Pia Akiimba. Live On Live Nimekusogezea Video Hizo Hapa, Karibu. Happening now A ...

Read More »