Author Archives: admin

Devon Franklin Atangaza Ujio Wa Kitabu Chake Kipya “The Truth About Men”. Aeleza Sababu Ya Kuandika Kitabu Hicho.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako7SharesDevon Franklin Ni Mhubiri, Mhamasishaji, Mwandishi Wa Vitabu Ambae Anahesabika Kati Ya Watu Wanaouza Vitabu Vyao Kwa Wingi Na Producer Bora Marekani Wa Kutengeneza Filamu. DeVon Ametangaza Kuachia Kitabu Chake Kipya Hivi Karibuni Alichokiita THE TRUTH ABOUT MEN: WHAT MEN AND WOMEN NEED TO KNOW!   Akiwa Ameweka Cover La Kitabu Hicho Kwa Mara ...

Read More »

Mambo 10 Usiyoyafahamu Kuhusu Saraha Jakes Robert.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako12SharesWengi Wanamfahamu Tu Kama Mhubiri. Johnpazia.com Tumekuandalia Mambo Kumi (10) Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Na Mhubiri Sarah Jakes Robert. 1. Sarah Jakes Ni Mtoto Wa Pili Wa Kike Wa Bishop T.D. Jakes Kati Ya Watoto Wa Tano Mmoja Wa Kike Na Watatu Wa Kiume. 2. Alipata Mimba Akiwa Na Miaka 13 Na Kuitwa Mama Akiwa ...

Read More »

New Video;Atosha Kissava Akukaribisha Kutazama “Usisahau Ulikotoka”. Christina Shusho Aonekana Ndani Ya Video Hiyo.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako24SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Atosha Kissava Ameachia Video Yake Mpya Iitwayo ‘Usisahau Ulipotoka’. Ndani Ya Video Hiyo Atosha Ameonekana Akiwa Na Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Christina Shusho. Hii Ni Video Yake Ya Pili Ndani Ya Mwaka Huu 2018 Baada Ya Kufanya Nakuamini Mungu Mwezi March. Karibu Ufurahie Upako ...

Read More »

Mjue Eric Lenjima. Mwimbaji Wa Injili Alieanza Kuimba Baada Ya Kushawishiwa Na Msichana Anaempenda.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako24SharesAnaitwa Erick Lenjima. Anaishi Arusha na ni mhitim wa chuo kikuu cha ushirika moshi 2018. Yeye ni mtoto wa tatu katika familia yake yenye watoto wanne, wanaume wawili na wanawake wawili kwa sasa baada ya Dada yake mkubwa (first born) kufariki 2002. Amezaliwa katika familia ya kawaida saana kiuchumi na ameishi na kulelewa katika ...

Read More »

Pastor Nick Shaboka Aeleza Aina Mbili Za Wanawake. Asema Kuna Ngazi Na Kaburi.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako22SharesMchungaji Nick Shaboka Wa Kanisa La New Day Church, Sinza A Ameelezea Aina Mbili Za Wanawake Ambao Wapo Katika Jamii. Katika Ujumbe Wake Ameandika; “KUNA AINA MBILI ZA WANAWAKE. NGAZI NA KABURI. Aina ya kwanza ni NGAZI (Ladder/Staircase/Elevator/Escalator). Ngazi ni kifaa kilichotengenezwa mahususi kusaidia kupandia au kushukia kutoka eneo la juu sana kusikofikika kirahisi ...

Read More »

Nabii Uebert Angel Aanzisha Darasa La Huduma Ya Kinabii.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako7SharesNabii, Mchungaji Na Kiongozi Wa Kanisa La Good News Church Uebert Angel Ameandaa Darasa Kwa Watu Wote Wenye Huduma Ya Kinabii Atakalolifanya Siku Ya Kesho Tarehe 13. Akiwakaribisha Watu Katika Darasa Hilo Ameandika; “Prophet Angel in his total generosity has opened up the lifetime opportunity for you to engage with and learn the prophetic. ...

Read More »

Koffi Annan kuzikwa Ghana, Alhamisi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako16Shares Mwili wa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, ambaye alifariki mwezi uliopita, umewasili katika nchi aliyozaliwa, Ghana. Mwili wake uliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kotoka International Airport mjini Accra, ukisindikizwa na familia yake na maafisa wengine wa Umoja wa Mataifa. Anatarajiwa kuzikwa kitaifa siku ya Alhamisi. Akiwa na ...

Read More »

Picha:Mchungaji aliyepigwa risasi 40 na majambazi bila kupenya mwilini, akamatwa na polisi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako75SharesWakati ulimwengu ukibuni njia ya kuweza kubuni mavazi ambayo yatazuia risasi kutokupenya kiurahisi kwenye mwili wa binadamu, hii ni tofauti kwa Mchungaji wa Kanisa la Grace and Power Prophetic Ministry International, David Elijah kutoka Nigeria ambaye wiki iliyopita amenusurika kifo kwa kushambuliwa kwa risasi akiwa njiani kuelekea kanisani. Mchungaji David Elijah Mchungaji David siku ya ...

Read More »