Author Archives: admin

Picha:Ni Heshima Sana Kutumika Madhabahuni Pa Bwana-Angel Benard

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako34SharesTarehe 24 June Muimbaji Wa Gospel Hapa Nyumbani Tanzania Angel Benard Aliandaa Event Maalum Kwa Ajili Ya Wanawake Na Mabinti Inayoitwa Beutful Inside Out(BIO)Mwanamke Wa Ufalme,Event Hiyo Ilifanyika Katika Ukumbi Wa GOLDEN ROSE ARUSHA Haya Ni Maneno Ya Angel Benard Baada Ya Event “BWANA ALIHUDUMIA WATOTO WAKE KWA NAMNA YA AJABU. NI HESHIMA SANA ...

Read More »

Be careful sana watumishi wenzangu-Abednego Hango

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwanzilishi Wa Kundi La The Worshipperz Abednego Hango Ameamua  Kuwafungukia Waimbaji Wa Gospel Wanaofanya Collabo Na Waimbaji Wa Bongo Flavour.   Mara nyingi tunakosa mwelekeo na upako tunapohudumu kwa sababu ya kusikiliza miziki ya kidunia. Na siku hizi hasa vijana wanaoibukia kwenye muziki wa injili hawaoni shida kufanya collabo na waimbaji wa secular eti ...

Read More »

Serikali yaweka wazi mbinu za kuwaokoa mabinti wanaoajiriwa kazi za ndani nje ya nchi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako  Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde amesema serikali imeweka utaratibu maalumu kuwaajiri mabinti wa Kitanzania kwenda kufanya kazi za ndani nje ya nchi ikiwa ni pamoja na kwenda kupitia wakala wa ajira wa serikali TAHESA ili kuepuka manyanyaso wakifika katika nchi hizo hususani Urabuni. Mhe. Mavunde ameyasema hayo ...

Read More »

Rais Magufuli anafahamu anakoipeleka Tanzania – Mengi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania na mmiliki wa Kampuni ya IPP Limited, Reginald Mengi amewataka Watanzania kuwa na subira kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwani anakoipeleka nchi anakujua mwenyewe huku akiwaomba tuendelee kumuombea. Kutoka kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ...

Read More »