Author Archives: admin

Hii Ndio Orodha Kamili Ya Walioteuliwa Na Raisi Magufuli Leo Katika Nafasi Mbalimbali.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14SharesRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  amefanya uteuzi na mabadiliko ya viongozi wa Mikoa, Wizara na Wilaya. Rais Magufuli amefanya uteuzi na uhamisho huo ili kujaza nafasi zilizo wazi kufuatia baadhi ya viongozi kustaafu, kuteuliwa katika nafasi nyingine na wengine kuachwa. Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo; ALLY ...

Read More »

Picha Za Send Off Na Harusi Ya Deborah Lukalu Hizi Hapa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako28SharesTarehe 21 July ni siku ambayo ilibadilisha historia ya maisha ya mwanadada Deborah Lukalu na kuandika historia mpya ya maisha yake. Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini mwenye asili ya Kongo Deborah Lukalu siku ya Jumamosi ya tarehe 21 ndipo alipobadili mfumo mzima wa maisha yake baada ya kukiri mbele za Mungu ...

Read More »

Miriam Jackson Aongelea Ndoa, Asema ‘Ndoa Ni Complicated’.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako14SharesMiriam Jackson Ni Muimbaji Wa Gospel Hapa Nyumbani Tanzania Mwenye Hit Song Kama Ni Bwana ebedikoda, Nisaidie, Ni Bwana Na Nyingine Nyingi. Mwimbaji Huyo Amekuwa Akiitumia Mitandao Ya Kijamii Kufundisha, Kuelimisha Na Kuwaonya Mashabiki Zake. Sasa Afunguka Na Kuongelea Ndoa Na Kusema Kuwa Ndoa Ni Complicated. Mwimbaji Huyo Ameyazungumza Hayo Kwenye Ukurasa Wake Instagram ...

Read More »

Guardian Angel Ajiandaa Kuingiza Bidhaa Yake Mpya Sokoni.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako26SharesYeye Mwenyewe Hujiita Music Doctor Na Watu Wengi Wamemzoea Hivyo Lakini Sasa Aamua Kuja Kivingine. Mshindi wa tuzo ya Groove Award mwaka huu Na Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Kenya ambaye anafanya vizuri sana katika tasnia ya muziki wa injili Kenya na hata nje ya mipaka ya Kenya Guardian Angel atangaza kuingiza bidhaa ...

Read More »

Majina Ya Washiriki Wa Tuzo Za AFRIMMA Kipengele Cha Gospel Haya Hapa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako7SharesKati ya tuzo kubwa ambazo hutolewa Afrika ni pamoja na tuzo za African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA). Ikiwa huu ni msimu wa tano sasa tangu tuzo hizo zianze kutolewa, Tanzania haikuweza kutoa mwimbaji yoyote kutoka kwenye tasnia ya Gospel kushiriki tuzo hizi. Katika kipengele cha gospel na majina ya washiriki ni kama ifuatayo; Kutoka Nigeria ...

Read More »

Rose Shaboka Awakanya Watumishi Vijana Kukusanya Sadaka.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako36SharesMama Mchungaji Wa Kanisa La New Day Church  Lililopo Dar-Es-Salaam Rose Shaboka Awafungukia Wachungaji Watumishi Vijana. Katika Ujumbe Wake Moja Ya Kipengele Alichoongelea Ni Sadaka. Aliwataka Wachungaji Wanaoanza Huduma Kutokukusanya Sadaka Kanisani Na Kuondoka Nazo. Ameandika; Wale mnaoanza huduma, watumishi vijana kama Mimi, kuna kitu kinaitwa MINISTERIAL ETHICS ambazo lazima uzifuate hasa unapoalikwa kuhudumu ...

Read More »

“Njia Ya Mkato Kupata Kitu Unachotaka Ni Chakula” – Ambwene Mwasongwe.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako18SharesMuimbaji Wa Muziki Wa Injili Tanzania Ambwene Mwasongwe ambaye licha ya kufikisha ujumbe wake kwa njia ya nyimbo pia hutumia mitandao ya kijamii kuwafundisha mashabiki zake mambo mbalimbali ya kiroho na hata kimaisha afunguka na kufundisha kuhusu nguvu ya chakula.   Akitumia mifano ya Biblia Katika maelezo yake mwimbaji huyo alionyesha jinsi chakula kinavyoweza ...

Read More »