Author Archives: admin

Kirk Franklin Amsamehe Baba Yake Mzazi. Ni Baada Ya Kusikia Amebakiza Miezi Michache Ya Kuishi.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako36SharesMwimbaji Legend Wa Muziki Wa Injili Marekani Kirk Franklin Akiri Kumsamehe Baba Yake Mzazi Aliyeishi Miaka Yote Akimchukia Baada Ya Baba Yake Huyo Pamoja Na Mama Yake Mzazi Kumtoa Alipokuwa Mdogo Na Kuacha Alelewe Na Familia Nyingine (Adoption). Msamaha Huo Ameutoa Baada Ya Kusikia Kuwa Baba Yake Amebakiza Miezi Mitatu  Hadi Sita Ya Kuishi. ...

Read More »

Picha:Maandalizi Ya Kumpokea Nabii Shepherd Bushiri Yatikisa Mji wa Moshi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako56SharesNabii Shepherd Bushiri  Maarufu kama Major One Wa Kanisa La  Enlightened Christian Gathering Church (ECG) Kutoka Afrika Kusini ambaye anaushawishi mkubwa barani afrika na utajiri anatarajiwa kutua nchini Tanzania Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro  Tarehe 18 hadi 20 mwezi wa tisa Katika Kongamano Kubwa lililoandaliwa na kanisa lake litakalofanyika katika uwanja wa chuo cha Ushirika ...

Read More »

New Video; Tim Godfrey Ft Travis Greene – “Nara”.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Nigeria Timothy Godfrey Maarufu Kama Tim Godfrey Ameachia Video Mpya Ya Wimbo Wake Uitwao Nara. Katika Video Hiyo Amemshirikisha Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Marekani Travis Greene. Video Hiyo Ilifanyika July 25 Mwaka Huu Katika Event Yake Ya Fearless Live. Akiachia Video  Hiyo Tim Godfrey Ameandika;“Yaaayyyyy I’m ...

Read More »

Huu Ndio Ujumbe Alioandika Joel Lwaga Baada Ya Kutua Rwanda.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Joel Lwaga Ametua Rwanda Siku Ya Leo. Habari Zaidi Soma; http://johnpazia.com/2018/09/13/picha-joel-lwaga-atua-kigali-rwanda/ Baada Ya Kufika Rwanda Kigali Na Kupokelewa Vizuri Joel Ameandika Ujumbe Huu; “I thank God kwa mapokezi mazuri niliyoyapata hapa Kigali Rwanda 🙏🔥 these people are Amazing🙌 soon ntapost wapi ticket za jpili zinapatikana, ...

Read More »

Chris Mauki Awashauri Vijana Kutokuogopa Kuvunja Mahusiano Au Uchumba.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoMtaalamu Wa Maswala Ya Saikolojia Ya Jamii Na Mwalimu Katika Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Leo Amewashauri Vijana Kutokuogopa Kuvunja Mahusiano Au Uchumba Kwa Sababu Ya Kukaa Muda Mrefu Katika Mahusiano. Pia Amewatia Moyo Na Kuwaonyesha Vijana Kuwa Bado Inawezekana Kuanzisha Mahusiano Mapya Na Yenye Furaha Na Kuchomoka Kwenye Mahusiano Yenye Maumivu Na Machozi Kila ...

Read More »

Askofu Anayetuhumiwa Kumbaka Mtawa Akamatwa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zakoJeshi la Polisi linamshikilia Askofu Franco Mulakkal wa Kanisa Katoliki Dayosisi ya Kaskazini mwa Jimbo la Punjab nchini India anayetuhumiwa kwa ubakaji. Anatuhumiwa kufanya matukio hayo katika kipindi cha mwaka 2014 hadi 2016 Watawa walifanya mgomo kwa siku kadhaa wakishinikiza kukamatwa kwake. Mgomo huo ulijumuisha makundi ya Wanaharakati na Watetezi wa haki za Wanawake ...

Read More »

Emmy Kosgei Aeleza Sababu Za Yeye Kutokuwa Na Mtoto Hadi Sasa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako13SharesTunapoongelea Waimbaji Wakubwa Kenya Na Wanaofanya Vizuri Hutaacha Kmtaja Emmy Kosgei. Emmy Kosgei Ameolewa Na Apostle Anselm Madubuko Na Wanamiaka Mitano Ndani Ya Ndoa Yao. Kwa Muda Wote Huo Mwimbaji Huyo Ameishi Bila Kuwa Na Mtoto Jambo Lililozua Maswali Kwa Watu NaHata Mashabiki Zake.   Akizungumza Na Parent Magazine  Mwimbaji Huyo Amesema Hakuolewa Ili ...

Read More »

Picha; Joel Lwaga Atua Kigali Rwanda.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako57SharesMwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Joel Lwaga Ametua Kigali Rwanda Leo Kwa Ajili Ya Huduma Atakayoifanya September 16 Katika Kanisa La Christian Life Assembly. Akionyesha Furaha Yake Alipotua Rwanda Joel Amesema; “Ninafuraha Kuwa Rwanda Kwa Mara Ya Kwanza  Nchi Ambayo Nimesikia Mambo Mengi Mazuri Kuihusu. Kama Mkono Wa Mungu Ulivyofanya ...

Read More »