Kirk Franklin Amsamehe Baba Yake Mzazi. Ni Baada Ya Kusikia Amebakiza Miezi Michache Ya Kuishi.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 36
    Shares

Mwimbaji Legend Wa Muziki Wa Injili Marekani Kirk Franklin Akiri Kumsamehe Baba Yake Mzazi Aliyeishi Miaka Yote Akimchukia Baada Ya Baba Yake Huyo Pamoja Na Mama Yake Mzazi Kumtoa Alipokuwa Mdogo Na Kuacha Alelewe Na Familia Nyingine (Adoption).

Msamaha Huo Ameutoa Baada Ya Kusikia Kuwa Baba Yake Amebakiza Miezi Mitatu  Hadi Sita Ya Kuishi.

Kirk Ameandika; “So…..
Two days ago, I received an anonymous call that my biological father, who I never knew, has 3-6 months to live. I’ve lived my entire life hating this man. He and my biological mother gave me up for adoption, and it left me never feeling good enough….to this very day. I took my hate for him and used it as fuel to be the best father I could be for my own. But what I did wrong, is I never took that fuel, and turn it into forgiveness….and that is wrong. Wrong for him, me, and the God I proclaim to represent. How can I preach what I don’t practice. So I flew to Houston yesterday to do that. It’s painful, it’s a process, but how disappointed I would be in myself for this man to leave this earth without being forgiven. He deserves to receive what God gives me everyday. Pray for him, and for me. God this is hard…I weep as I write”.

Kirk Franklin Alilelewa Na Shangazi Yake Kuanzia Alipokuwa Mtoto Aitwaye Gertrude Na Bibi Yake.

Akiwa Na Miaka Saba Aliletewa Mkataba Wa Kazi Lakini Shangazi Yake Akakataa Na Baadae Akiwa Na Miaka 12 Akapewa Mkataba Mwingine Wa Kuongoza Kwaya Ya Kanisa La Mt. Rose Baptist Church.

Alianza Rasmi Kusimama Peke Yake Kama Mwimbaji Binafsi Mwaka 2001.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 36
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*