Picha:Maandalizi Ya Kumpokea Nabii Shepherd Bushiri Yatikisa Mji wa Moshi

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 56
    Shares

Nabii Shepherd Bushiri  Maarufu kama Major One Wa Kanisa La  Enlightened Christian Gathering Church (ECG) Kutoka Afrika Kusini ambaye anaushawishi mkubwa barani afrika na utajiri anatarajiwa kutua nchini Tanzania Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro  Tarehe 18 hadi 20 mwezi wa tisa Katika Kongamano Kubwa lililoandaliwa na kanisa lake litakalofanyika katika uwanja wa chuo cha Ushirika Moshi.

 

Tayari wageni mbalimbali wameanza kuwasili mjini moshi na maandalizi yameanza Kwa fujo katika viunga vya mkoa wa Wa Kilimanjaro.Maelfu ya Watu  kutoka ndani na nje ya tanzania wanatarajiwa kufika katika Kongamano hilo ili kufundishwa,kutabiriwa na kuombewa na Nabii Shepherd Bushiri

Live On Live naomba ufurahie upako wa picha za Maandalizi hapa chini.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 56
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*