Picha; Joel Lwaga Atua Kigali Rwanda.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 57
    Shares

Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Joel Lwaga Ametua Kigali Rwanda Leo Kwa Ajili Ya Huduma Atakayoifanya September 16 Katika Kanisa La Christian Life Assembly.

Akionyesha Furaha Yake Alipotua Rwanda Joel Amesema;

“Ninafuraha Kuwa Rwanda Kwa Mara Ya Kwanza  Nchi Ambayo Nimesikia Mambo Mengi Mazuri Kuihusu. Kama Mkono Wa Mungu Ulivyofanya Ya Kushangaza Kwa Wengine Naamini Sasa Ni Muda Wa Rwanda.

Sijaja Mikono Mitupu Au Na Moyo Mtupu, Nimekuja Na Zawadi Kwa Ajili Ya Watu Wa Rwanda, Na Jiandaeni Sitawadanganya. Kama Jinsi Moja Ya Nyimbo Nilizoandika Inavyosema Pia Baada Ya Kupokea Ile Zawadi Mungu Aliyoweka Ndani Ya Moyo Wangu Kwa Ajili Ya Watu Wa Rwanda, Hamtakuwa Vilevile Mlivyo. Tarajia Nguvu Za Mungu“.

Victorious Live Concert Itakuwa Ni Live DVD Recording Msimu Wa Tatu Baada Ya Miaka Mitatu. Pia Inasemekana Kuwa Joel Lwaga Katika Safari Yake Hii Atafanya Kolabo Na Mwimbaji Wa Rwanda Aline Gahongayire.

Kingdom fo God Ministries Ni Moja Kati Ya Huduma Ya Uimbaji Inayofanya Vizuri Rwanda Kwa Nyimbo Zinazowabariki Watu Na Shughuli Ambazo Wanazifanya. Baadhi Ya Nyimbo Zao Zinazopendwa Zaidi Ni Pamoja Na “NZAMUHIMBAZA”, “SINZAVA AHO URI” .

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 57
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*