Mambo 10 Usiyoyafahamu Kuhusu Saraha Jakes Robert.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 12
    Shares

Wengi Wanamfahamu Tu Kama Mhubiri. Johnpazia.com Tumekuandalia Mambo Kumi (10) Usiyoyajua Kuhusu Mchungaji Na Mhubiri Sarah Jakes Robert.

1. Sarah Jakes Ni Mtoto Wa Pili Wa Kike Wa Bishop T.D. Jakes Kati Ya Watoto Wa Tano Mmoja Wa Kike Na Watatu Wa Kiume.

2. Alipata Mimba Akiwa Na Miaka 13 Na Kuitwa Mama Akiwa Na Miaka 14 Na Alifunga Ndoa Na Mtaliki Wake Huyo Aitwaye Robert Henson Akiwa Na Miaka 19.

3. Aliachana Na Mwanaume Huyo Akiwa Na Miaka 22 Sababu Ikiwa Alimpa Ujuauzito Mwanamke Mwingine. Ndoa Hiyo Ilivunjika Akiwa Na Watoto Wawili Baada Ya Ndoa Yao Kudumu Kwa Miaka Minne(2008- 2012).

4. Aliwahi Kufanya Kazi Katika Shirika La Ndege Na Pia Katika Mghahawa Kabla Ya Kuanza Kufanya Huduma Ili Aweze Kuwatunza Watoto Wake.

5. Baada Ya Miaka Miwili Kupita Sarah Jakes Alifunga Ndoa Na Mchungaji Wa Kanisa La One Church International Mchungaji Toure Roberts (2014).

6. Sasa Ni Mchungaji Wa Kanisa La The Potters House One Church International Pamoja Na Mume Wake Toure Robert.

7. Ni Mwandishi Wa Vitabu Mbalimbali Kikiwepo Dear Mary, Lost And Found, Colliding With Destiny.

8. Hufanya Modeling Na Kupiga Picha Na Kampuni Na Wanamitindo Wa Mavazi Na Ni Mwanamitindo Pia.

9. Ni Mama Wa Watoto Sita Kwa Sasa, Watatu Ambao Alimkuta Nao Mme Wake (Wawili Wakike Mmoja Wa Kiume), Wawili Aliokuwa Nao Kabla Ya Ndoa Yao (Wakiume Na Wa Kike) Na Mmoja Waliempata Ndani Ya Ndoa Yao(Wakike).

10. Hutumia Ushuhuda Wake Kuwatia Moyo Mabinti Na Kwa Sasa Huandaa Kongamano Kubwa Marekani La Wanawake Liitwalo ‘Woman Evolve’.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 12
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*