Huu Ndio Ujumbe Alioandika Joel Lwaga Baada Ya Kutua Rwanda.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Joel Lwaga Ametua Rwanda Siku Ya Leo.

Habari Zaidi Soma; http://johnpazia.com/2018/09/13/picha-joel-lwaga-atua-kigali-rwanda/

Baada Ya Kufika Rwanda Kigali Na Kupokelewa Vizuri Joel Ameandika Ujumbe Huu;

“I thank God kwa mapokezi mazuri niliyoyapata hapa Kigali Rwanda 🙏🔥 these people are Amazing🙌 soon ntapost wapi ticket za jpili zinapatikana, uliyeko hapa hupaswi kukosa kabsa this sunday! .

Pia Baadaye Aliongeza;

#Rwanda nimekuletea Yesu! My agenda here is to make Jesus famous🙌 hii wiki itakuwa ni ya kihistoria, maisha ya watu wa nchi hii hayatabaki kama yalivyokuwa in Jesus name! Tutakuwa na wakati muhimu zaidi wa kumwabudu Mungu na Mungu atajidhihirisha kwa ishara na matendo ya miujiza get ready!💪🔥”

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*