Emmy Kosgei Aeleza Sababu Za Yeye Kutokuwa Na Mtoto Hadi Sasa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 13
    Shares

Tunapoongelea Waimbaji Wakubwa Kenya Na Wanaofanya Vizuri Hutaacha Kmtaja Emmy Kosgei.

Emmy Kosgei Ameolewa Na Apostle Anselm Madubuko Na Wanamiaka Mitano Ndani Ya Ndoa Yao. Kwa Muda Wote Huo Mwimbaji Huyo Ameishi Bila Kuwa Na Mtoto Jambo Lililozua Maswali Kwa Watu NaHata Mashabiki Zake.

 

Akizungumza Na Parent Magazine  Mwimbaji Huyo Amesema Hakuolewa Ili Apate Watoto;

“Sikuolewa Kwasababu Nataka Nipate Watoto, Mahusiano Ni Kuhusu Umoja Na Hatima. Ukijishikamanisha Na Mtu Asiesawa Unaweza Kuharibu Hatima Yako Kabisa. Niko Na Shughuli Nyingi Ndio Lakini Natumaini Kuwa Na Watoto Wangu Pia Siku Moja”.

Madubuko Ana Watoto Wawili Kutoka Kwenye Uhusiano Wake Wa Kwanza Sandra Na Velma Ambao Emmy Huwakumbatia Kama Watoto Wake Mwenyewe.

“Watoto Wangu Wananiheshimu Na Wananiita Mama, Sichukulii Kawaida”. Alisema Emmy.

Mke Wa Kwanza Wa Apostle Madubuko Alifariki Mwaka 2012, Mwaka Ambao Mtoto Wake Wa Kwanza Velma Aliolewa.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 13
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*