New Video;Atosha Kissava Akukaribisha Kutazama “Usisahau Ulikotoka”. Christina Shusho Aonekana Ndani Ya Video Hiyo.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 24
    Shares

Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Hapa Nyumbani Tanzania Atosha Kissava Ameachia Video Yake Mpya Iitwayo ‘Usisahau Ulipotoka’.

Ndani Ya Video Hiyo Atosha Ameonekana Akiwa Na Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Christina Shusho.

Hii Ni Video Yake Ya Pili Ndani Ya Mwaka Huu 2018 Baada Ya Kufanya Nakuamini Mungu Mwezi March.

Karibu Ufurahie Upako Wa Video;

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 24
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*