Nabii Uebert Angel Aanzisha Darasa La Huduma Ya Kinabii.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 7
    Shares

Nabii, Mchungaji Na Kiongozi Wa Kanisa La Good News Church Uebert Angel Ameandaa Darasa Kwa Watu Wote Wenye Huduma Ya Kinabii Atakalolifanya Siku Ya Kesho Tarehe 13.

Akiwakaribisha Watu Katika Darasa Hilo Ameandika;

“Prophet Angel in his total generosity has opened up the lifetime opportunity for you to engage with and learn the prophetic. This Thursday will be a one off online lesson on the secrets of the Prophetic, it is only for those who are serious about the Prophetic. To register go to www.uebertangel.org”.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 7
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*