Jeshi La Polisi Laanza Uchunguzi Wa Tukio La Mwandishi Wa Habari Kupigwa Na Polisi Uwanja Wa Taifa.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Jeshi la polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam limeanza uchunguzi wa tukio la kupigwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Wapo Radio, Silas Mbise ambapo pia limemtaka mwandishi huyo aende kutoa taarifa katika kituo cha polisi ili uchunguzi uweze kufanyika.

Taarifa hiyo imetolewa leo na Kamanda Maalumu wa Kanda ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa.

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*