Angel Bernard Atarajia Kutua Washington DC.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Mshindi Wa Tuzo Ya Sauti Award Katika Kipengele Cha Mwimbaji Bora Wa Kike Afrika Mashariki, Magharibi Na Afrika Ya Kati Angel Benard Amepata Mwaliko Kuhudumu Katika Kanisa La Lutheran Church Of The Reformation Washington DC.

Huduma Hiyo Ni Kwa Ajili Ya Kuombea Taifa La Marekani, Israel Pamoja Na Afrika Mashariki.

#grace #focus

A post shared by Angel Benard (@angelbenardofficial) on

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*