Ujumbe Wa Angel Benard Kwa Mume Wake Baada Ya Kushinda Tuzo.

Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 24
    Shares

Mshindi Wa Tuzo Ya Sauti Award 2018 Na Maranatha Award 2018 Angel Benard Ameandika Ujumbe Na Kumpongeza Mume Wake Mchungaji Godsave Sakafu Baada Ya Kushinda Tuzo Ya Maranatha Award Kama Best Talent Nurturer.

Angel Amempongeza Mume Wake Kwa Kumlea Yeye Pamoja Na Wengine Katika Utumishi Waliobeba. Pia Godsave Ndie Manager Anaesimamia Kazi Zote Za Angel Benard.

 

Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter , Instagram Na Youtube “johnpazia”ili kupata habari Kutoka Kila Kona Ya Mitaa Mbalimbali Duniani Live On Live Masaa 24 Kila Siku.


Sambaza Upendo , Share na Rafiki zako
  • 24
    Shares

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*